Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Naomba kudeclare kabisa mimi siyo mshabiki wa Simba, lakini kwenye upotoshaji lazima tuwekane sawa.
Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park ndipo ulipo uwanja wa ndege.
Kutoka kemtorn park mpaka Sandton (Uzunguni) hotel waliyofikia Simba kuna highway za kupita huingii Johannesburg City center kutokana na maendeleo makubwa ya wenzentu ile highway inakupeleka direct Sandton hata wanaokwenda Pretoria nadhani wanaweza kutumia highway hiyo.
Kuna video clip za ubabaishaji na propaganda uchwara eti Simba hawakupewa escort kwenye msafara wao hivi ni vichekesho, muulizeni Barbara kuanzia airport hadi hotelini msafara wa Simba ulisimama wapi au wapi walikutana na taa za barabarani ili wasimame?
Simba ijiandae uwanjani na si kudanganya watu eti hawakupewa escort wakati kwa miundombinu ya Johannesburg hakuna sehemu utasimama kutoka Kemtorn park ulipo uwanja wa ndege wa Oliver Tambo moaka Sandton kwenye hotel waliyofikia Simba ni uzunguni ni zaidi ya Masaki kwa Bongo, wako fresh na hakuna mzulu anakanyaga Sandton labda ni mfanyakazi na baada ya muda wa kazi anaondoka na hakuna hata route ya metro treni ndio ujuwe wazungu walivyo jeuri.
Kwahiyo msidanganywe na viclip au mtu yeyote Simba ipo kwenye sehemu salama kuliko wenyeji wao Orlando, usidanganywe eti kuna hujuma yoyote si kweli, tunataka kuona Simba icheze mpira jumapili na siyo hizi propaganda uchwara za camera za Azzam.
Mimi nimechukia leo kwa hawa wanahabari kudhani kila Mtanzania ni zuzu.
Orlando kama wataruhusiwa kuujaza uwanja wa FNB basi ndio mwisho wa safari ya Simba na hatuwadai kitu, walipofika wamejitahidi.