Viongozi wa Simba hasa Barbara wasidhani kila Mtanzania ni mbumbumbu au hatujatembea na hatujuwi lolote.

Viongozi wa Simba hasa Barbara wasidhani kila Mtanzania ni mbumbumbu au hatujatembea na hatujuwi lolote.

Pole sana!! Sisi tunaongelea taratibu za CAF zinaelekeza mgeni lazima apewe trafic/police escort na hilo liko wazi!! Watu wakianza kueleza nchi walizotembelea utajificha, wala hapa siyo mahali pake. Hapa tuongelee taratibu zilizopo full stop!!
Mkuu unabishana na mtu mgando. Haelewi hata ukimuelewesha kazi kweli kweli
 
Anachokifanya ni kuwadanganya kwa sababu ya umaskini.

Ingekuwa ni Uefa saa hizi mashabiki wa Simba wengi wangekuwa wameenda Johannesburg kuisapoti timu na nafasi ya uongo kama huu isingekuwepo.

Kutoka Dar mpaka Johannesburg nadhani ni kilometers 5000 tu.
Simba na uefa wapi na wapi... ? Uefa ya timu za mataifa ya bara ulaya na simba ipo huku Africa kwenye CAF. Oyaa upo sawa kweli au mawingu..?
 
Hivi unadhani kuitwa mbumbumbu rage aliwakosea?

eti "ooh tunaomba ulinzi" huyu Demu anajikuta so special
 
Simba hawezi kufika popote. Hawezi kumfunga Orlando never on earth. Hawana kikosi cha kufanya hayo maajabu
Na hapo kwa mkapa walimfanyaje... ? Never say never. Kesho simba ikipita uolewe kabsa tena upigwe kweupe
 
Elewa mada amekuambia tupac was short

Badala ya kuuliza futi ngapi we unakuja kusema habari za kufa
Watanzania tuna changamoto sana, misspelling tayari imeshakuwa big deal. Ni kosa dogo sana ambalo mtu yeyote yule aweza fanya, hivyo kwa mtu yeyote mwelewa huwa si jambo la kushikilia hata kidogo.
 
Watanzania tuna changamoto sana, misspelling tayari imeshakuwa big deal. Ni kosa dogo sana ambalo mtu yeyote yule aweza fanya, hivyo kwa mtu yeyote mwelewa huwa si jambo la kushikilia hata kidogo.
Wewe ndio unaifanya iwe big deal kwa kuendelea kuijadili wakati mi nilidokeza tu kama utani
 
Back
Top Bottom