Viongozi wa Simba hasa Barbara wasidhani kila Mtanzania ni mbumbumbu au hatujatembea na hatujuwi lolote.

Jamaa wanatafuta visingizio vya kutolewa maana wanajua watakula za kutosha
Na huu ndiyo ukweli mchungu. Simba ijiandae kupambana uwanjani kama watoto yatima, ili kupata sare au ushindi mwingine ugenini, wa kuwawezesha kusonga hatua ya nusu fainali.

Waache kutafuta visingizio visivyo na tija, vya nje ya uwanja.
 
Kwa hiyo mnataka kusema hapo baadaye mlitolewa kwenye hii hatua kwa sababu hamkupewa escort siyo!

Mashabiki wa simba amkeni bhana!
Jibu swali ww, hakuna alieongelea habari ya kutolewa hapa
 
Kwa sasa tujikite kwenye mpira uwanjani, hizi blah blah zingine tuachane nazo.
Ushauri murua kabisa huu kwa mashabiki wenzako wanaolilia "escort" katika barabara yenye usalama, na isiyo na msongamano wowote ule wa magari kama ilivyo Bongo.
 
Naomba kudeclare kabisa mimi siyo mshabiki wa Simba, lakini kwenye upotoshaji lazima tuwekane sawa.

Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park ndipo ulipo uwanja wa ndege.

Kutoka kemtorn park mpaka Sandton (Uzunguni) hotel waliyofikia Simba kuna highway za kupita huingii Johannesburg City center kutokana na maendeleo makubwa ya wenzentu ile highway inakupeleka direct Sandton hata wanaokwenda Pretoria nadhani wanaweza kutumia highway hiyo.

Kuna video clip za ubabaishaji na propaganda uchwara eti Simba hawakupewa escort kwenye msafara wao hivi ni vichekesho, muulizeni Barbara kuanzia airport hadi hotelini msafara wa Simba ulisimama wapi au wapi walikutana na taa za barabarani ili wasimame?

Simba ijiandae uwanjani na si kudanganya watu eti hawakupewa escort wakati kwa miundombinu ya Johannesburg hakuna sehemu utasimama kutoka Kemtorn park ulipo uwanja wa ndege wa Oliver Tambo moaka Sandton kwenye hotel waliyofikia Simba ni uzunguni ni zaidi ya Masaki kwa Bongo, wako fresh na hakuna mzulu anakanyaga Sandton labda ni mfanyakazi na baada ya muda wa kazi anaondoka na hakuna hata route ya metro treni ndio ujuwe wazungu walivyo jeuri.

Kwahiyo msidanganywe na viclip au mtu yeyote Simba ipo kwenye sehemu salama kuliko wenyeji wao Orlando, usidanganywe eti kuna hujuma yoyote si kweli, tunataka kuona Simba icheze mpira jumapili na siyo hizi propaganda uchwara za camera za Azzam.

Mimi nimechukia leo kwa hawa wanahabari kudhani kila Mtanzania ni zuzu.

Orlando kama wataruhusiwa kuujaza uwanja wa FNB basi ndio mwisho wa safari ya Simba na hatuwadai kitu, walipofika wamejitahidi.
Tulia kwenye timu yako weee kimeeeekuuma nn hapo sasaaa, subiria timu yako ikienda uko ndo ujeee udeclare achana na babraaa
 
Kwa hiyo mnataka kusema hapo baadaye mlitolewa kwenye hii hatua kwa sababu hamkupewa escort siyo!

Mashabiki wa simba amkeni bhana!
Acha kupotosha. Hoja yake inapoteza maana akijibu hilo swali.
 
Jibu swali ww, hakuna alieongelea habari ya kutolewa hapa
Acheni visingizio bhana! 😁😁😁 Pambaneni basi mpate hata sare tu ugenini ili muingie hatua ya nusu fainali!

Haya mambo ya escort, sijui vitisho kutoka kwa kocha wa Orlando Pirates hayatakiwi kupewa kipaumbele kwa sasa.
 
Naomba kudeclare kabisa mimi siyo mshabiki wa Simba, lakini kwenye upotoshaji lazima tuwekane sawa.

Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park ndipo ulipo uwanja wa ndege.

Kutoka kemtorn park mpaka Sandton (Uzunguni) hotel waliyofikia Simba kuna highway za kupita huingii Johannesburg City center kutokana na maendeleo makubwa ya wenzentu ile highway inakupeleka direct Sandton hata wanaokwenda Pretoria nadhani wanaweza kutumia highway hiyo.

Kuna video clip za ubabaishaji na propaganda uchwara eti Simba hawakupewa escort kwenye msafara wao hivi ni vichekesho, muulizeni Barbara kuanzia airport hadi hotelini msafara wa Simba ulisimama wapi au wapi walikutana na taa za barabarani ili wasimame?

Simba ijiandae uwanjani na si kudanganya watu eti hawakupewa escort wakati kwa miundombinu ya Johannesburg hakuna sehemu utasimama kutoka Kemtorn park ulipo uwanja wa ndege wa Oliver Tambo moaka Sandton kwenye hotel waliyofikia Simba ni uzunguni ni zaidi ya Masaki kwa Bongo, wako fresh na hakuna mzulu anakanyaga Sandton labda ni mfanyakazi na baada ya muda wa kazi anaondoka na hakuna hata route ya metro treni ndio ujuwe wazungu walivyo jeuri.

Kwahiyo msidanganywe na viclip au mtu yeyote Simba ipo kwenye sehemu salama kuliko wenyeji wao Orlando, usidanganywe eti kuna hujuma yoyote si kweli, tunataka kuona Simba icheze mpira jumapili na siyo hizi propaganda uchwara za camera za Azzam.

Mimi nimechukia leo kwa hawa wanahabari kudhani kila Mtanzania ni zuzu.

Orlando kama wataruhusiwa kuujaza uwanja wa FNB basi ndio mwisho wa safari ya Simba na hatuwadai kitu, walipofika wamejitahidi.
Simba ni kama misukule. Wanaitikia yote anayosema Barbra
 
Simba hawezi kufika popote. Hawezi kumfunga Orlando never on earth. Hawana kikosi cha kufanya hayo maajabu
 
Hebu soma tena ulichoandika mkuu labda utakielewa! Simba hana kikosi cha kumfunga Orlando Pirates, mechi iliyopita ilikuwa ni droo au ilitokaje?
 
Tatizo huu uzi umeanzishwa na shabiki wa utopolo haeleweki anaongea nini mshaanza kuweweseka kabla ya mechi kesho tukimpiga mtu kule sijui mtajificha wapi na chuki zenu hizo badala mjadili yanga mtafikaje walipofika simba mnapinga kila hatua ya simba kwa vitendo huu ndo uchawi wenyewe sasa.
 
Utopolo fc mabingwa wa kihistoria hao kimataifa hawana masikhara.
tapatalk_-1514919581_360x447.jpg
 
Huitaji pikipiki ya trafiki kule, acha ujinga.

Sipendi kujikweza, my first trip ni Canada, hakuna issue ya Canada ndio maana sina cha kushare my experience.

Canso Nova Scotia
Hata mimi sipendi kujikweza na ndio maana nipo Chicago huu mwaka wa 9 sijamtangazia mtu
 
Naomba kudeclare kabisa mimi siyo mshabiki wa Simba, lakini kwenye upotoshaji lazima tuwekane sawa.

Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park ndipo ulipo uwanja wa ndege.

Kutoka kemtorn park mpaka Sandton (Uzunguni) hotel waliyofikia Simba kuna highway za kupita huingii Johannesburg City center kutokana na maendeleo makubwa ya wenzentu ile highway inakupeleka direct Sandton hata wanaokwenda Pretoria nadhani wanaweza kutumia highway hiyo.

Kuna video clip za ubabaishaji na propaganda uchwara eti Simba hawakupewa escort kwenye msafara wao hivi ni vichekesho, muulizeni Barbara kuanzia airport hadi hotelini msafara wa Simba ulisimama wapi au wapi walikutana na taa za barabarani ili wasimame?

Simba ijiandae uwanjani na si kudanganya watu eti hawakupewa escort wakati kwa miundombinu ya Johannesburg hakuna sehemu utasimama kutoka Kemtorn park ulipo uwanja wa ndege wa Oliver Tambo moaka Sandton kwenye hotel waliyofikia Simba ni uzunguni ni zaidi ya Masaki kwa Bongo, wako fresh na hakuna mzulu anakanyaga Sandton labda ni mfanyakazi na baada ya muda wa kazi anaondoka na hakuna hata route ya metro treni ndio ujuwe wazungu walivyo jeuri.

Kwahiyo msidanganywe na viclip au mtu yeyote Simba ipo kwenye sehemu salama kuliko wenyeji wao Orlando, usidanganywe eti kuna hujuma yoyote si kweli, tunataka kuona Simba icheze mpira jumapili na siyo hizi propaganda uchwara za camera za Azzam.

Mimi nimechukia leo kwa hawa wanahabari kudhani kila Mtanzania ni zuzu.

Orlando kama wataruhusiwa kuujaza uwanja wa FNB basi ndio mwisho wa safari ya Simba na hatuwadai kitu, walipofika wamejitahidi.
Kwanza hauko na hujawahi hata Kusafiri na Kuishi Afrika Kusini bali tuko wote hapa Tandale Dar es Salaam kwa Mama Mfuga Paka.

Pili Wewe ni Mwandamizi wa Yanga SC ( hasa upande wa Habari na Mawasiliano ) na umeileta hii kama sehemu ya Kiherehere chako.

Tatu tunajua uko katika Payroll ya GSM na hapa upo katika Mkakati wa Kuichafua Simba SC kwa Nguvu zote.

Mwisho Simba SC Kesho anavuka Nusu.
 
Wewe Simba imepokewa na ubalozi wa Tanzania South Africa, ni tena unataka?

Hapa tunaweka kumbukumbu sawa tu, safari yangu ya kwanza nje ya Bongo ni Canada, siku 2pac Shakur anapigwa risasi Nevada nilikuwa Athens Greece tumetoka Pireaus home body kwenda kuangalia show ya Mike Tyson akitandika mtu round ya kwanza asubuhi ndio tunaona kwenye tv 2Pac Shakur was short dead, wewe fala unataka kunieleza nini? Ade gamisu.
Ukiachana na kutujulisha umri wako kiaina mi pia nina stori ya kushare hapo kama utakuwa interested

Mi wakati juice wrld ana bwiya yale madude nilikuwa naye pale airpot na mi ndio mtu pekee niliyesikia neno lake la mwisho

Tuendelee na mastori ya mambele
 
Naomba kudeclare kabisa mimi siyo mshabiki wa Simba, lakini kwenye upotoshaji lazima tuwekane sawa.

Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park ndipo ulipo uwanja wa ndege.

Kutoka kemtorn park mpaka Sandton (Uzunguni) hotel waliyofikia Simba kuna highway za kupita huingii Johannesburg City center kutokana na maendeleo makubwa ya wenzentu ile highway inakupeleka direct Sandton hata wanaokwenda Pretoria nadhani wanaweza kutumia highway hiyo.

Kuna video clip za ubabaishaji na propaganda uchwara eti Simba hawakupewa escort kwenye msafara wao hivi ni vichekesho, muulizeni Barbara kuanzia airport hadi hotelini msafara wa Simba ulisimama wapi au wapi walikutana na taa za barabarani ili wasimame?

Simba ijiandae uwanjani na si kudanganya watu eti hawakupewa escort wakati kwa miundombinu ya Johannesburg hakuna sehemu utasimama kutoka Kemtorn park ulipo uwanja wa ndege wa Oliver Tambo moaka Sandton kwenye hotel waliyofikia Simba ni uzunguni ni zaidi ya Masaki kwa Bongo, wako fresh na hakuna mzulu anakanyaga Sandton labda ni mfanyakazi na baada ya muda wa kazi anaondoka na hakuna hata route ya metro treni ndio ujuwe wazungu walivyo jeuri.

Kwahiyo msidanganywe na viclip au mtu yeyote Simba ipo kwenye sehemu salama kuliko wenyeji wao Orlando, usidanganywe eti kuna hujuma yoyote si kweli, tunataka kuona Simba icheze mpira jumapili na siyo hizi propaganda uchwara za camera za Azzam.

Mimi nimechukia leo kwa hawa wanahabari kudhani kila Mtanzania ni zuzu.

Orlando kama wataruhusiwa kuujaza uwanja wa FNB basi ndio mwisho wa safari ya Simba na hatuwadai kitu, walipofika wamejitahidi.
Kwani escort ya polisi inatakiwa kwa ajili ya nini?

Kwani sheria husika zinasemaje kuhusu escort ya polisi kwa timu husika?

Ikiwa hujui basi ulichoandika hapo ni ujinga mtupu.
 
Huyu mtoa maada ni mshamba na limbukeni. Kanuni ziko wazi timu inatakiwa kupewa escort haijalishi itafikia wapi?

Wewe takataka unakuja kuandika uchafu humu ili uonekane ulishafika South Afrika?

Jamaa lijinga kabisa.
 
Wewe Simba imepokewa na ubalozi wa Tanzania South Africa, ni tena unataka?

Hapa tunaweka kumbukumbu sawa tu, safari yangu ya kwanza nje ya Bongo ni Canada, siku 2pac Shakur anapigwa risasi Nevada nilikuwa Athens Greece tumetoka Pireaus home body kwenda kuangalia show ya Mike Tyson akitandika mtu round ya kwanza asubuhi ndio tunaona kwenye tv 2Pac Shakur was short dead, wewe fala unataka kunieleza nini? Ade gamisu.
Kwani 2pac alivyopigwa risasi alidedi hakukaa hospital siku kadhaa?
 
Back
Top Bottom