adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Nadhani mnasahau jambo moja. Mtu wa kwanza kuhukumiwa kama ni kamishna wa mchezo huu. Huyu ndio kuhojiwa na maelezo yake yatabeba matokeo ya tukio zima. March commissioner ndio mratibu mkuu wa mechi, ripoti yake inajumuisha maandalizi kabla ya mchezo Hadi mchezo unapokamilika. Swali: je alitimiza majukumu yake kikanuni? Kama angekuwepo eneo lake la kimajukumu basi haya yote yasingetokea. By the time anatafutwa kwa simu akidai yuko mbali anafika taifa saa 2:30 usiku muda ambao kikanuni Simba walitakiwa wawe wanamalizia mazoezi yao. Na taarifa ni jamaa ni mtu (shabiki) wa timu fulani. Tunajuana.