Viongozi wa Simba Hongereni sana kwa kucheza hili vizuri, Ila Bodi mmejaa Vibaya sana

Nadhani mnasahau jambo moja. Mtu wa kwanza kuhukumiwa kama ni kamishna wa mchezo huu. Huyu ndio kuhojiwa na maelezo yake yatabeba matokeo ya tukio zima. March commissioner ndio mratibu mkuu wa mechi, ripoti yake inajumuisha maandalizi kabla ya mchezo Hadi mchezo unapokamilika. Swali: je alitimiza majukumu yake kikanuni? Kama angekuwepo eneo lake la kimajukumu basi haya yote yasingetokea. By the time anatafutwa kwa simu akidai yuko mbali anafika taifa saa 2:30 usiku muda ambao kikanuni Simba walitakiwa wawe wanamalizia mazoezi yao. Na taarifa ni jamaa ni mtu (shabiki) wa timu fulani. Tunajuana.
 
Hahaha.
 
Na bodi ya ligi wamelijua hili kwamba yanga kuna watu wa serikali wengi na pia hersi ana interest za kisiasa lazima atashinikizwa na akina mkuchika,mavunde, mwigulu akubali mechi irudiwe! Hana uwezo wa kukataa ndo maana ameshindwa kupost chochote! Wenzake wakamuwah kuonyesha msimamo wao akina arafat makamu na mwanasheria Patrick. Na timu zote zikinyimwa point simba ana uwezekano mkubwa kuwa bingwa maana gap la point litabaki ni moja na yanga kabikisha mechi ngumu na azam na tabora! Wakati simba hana mechi ngumu tena! Hii mechi simba wametumia akili sana wangecheza wangefungwa na gap lingekuwa kubwa na yanga angechukua ubingwa,wakaona bora wasicheze ili kupunguza gap!
 
Yanga hawawezi kupewa ushindi labda kama Simba wangegomea mechi,tamko la bodi kuahirisha mechi limewavua Simba hatia ya kugomea mechi.
 
Kahujumiwa hivyo alistahili point zake tatu,waliogomea mechi kwa kutofika uwanjani bila sababu,walifaa adhamu na sii janja janja kuwanusuru.
Simba hawakwenda uwanjani sababu bodi ya ligi iliahirisha mechi.
Mechi imeahirishwa hakuna wa kudai points labda Yanga na simba zidai fidia ya gharama za maandalizi kws bodi ya ligi.
 
Yanga hapo anapoteza akigoma kupeleka team,sababu ni hizi hapa.

Bodi ya Ligi ikitoa tariba Mpya na uwanja mchezo tu kinachofuata ni utekelezaji.

1.Siku moja kabla ya mechi itakuwa pre match meeting,asipotokea kwa sababu. Yeyote bado taratibu zitaendelea.βœ…

2. Uwanja utawekwa wazi na meneja wa Uwanja. Simba atafanya taratibu zote ikiwemo kufanya mazoezi,na kuingia kiwanjani maana makomandoo ha watakuwepo(Nabashiri ulinzi Utakua mkali sana)βœ…

3.wazimamizi wote wa mechi watakuwepo siku ya mechi na watasimamia taratibu zote,βœ…

4.Yanga asipoleta team ,uwanjani point atapewa Simba na magoli matatu baada ya wasimamizi wa michezo kusubiri kwa muda wa kikanuniβœ…

We huogopi?
 
Kwahy hilo gap la point moja halitoshi yanga kuchukua ubigwa?
 
Hili sakata Kuna watu wataanza kufungiwa Ili kuwatisha wengine kuwatia uoga wasiendele kuhoji pale maamuzi mabovu yatakapoendelea kutolewa
Ndio watalikoroga zaidi.
Kwanza hiyo pumzi wanayo?
Mzigo ulio kichwani unawaΓ©lemea wajalizie na ulio chini?
 
Not this time
 
Hatupeleki timu. Madunduka yakipewa ushindi tutaenda kuudai CAS.
Safari hii tuko tayari kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku.
Tutatafuta hata wanasheria wa kimataifa.
Harambee ya buku buku itaanzishwa kwa wapenzi na wanachama.
 
Hatupeleki timu. Madunduka yakipewa ushinde tutaenda kuudai CAS.
Safari hii tuko tayari kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku.
Tutatafuta hata wanasheria wa kimataifa.
Hamta shinda wanwaambia sababu,CAS wataangalia grounds za Usalama,

Nikuulize swali, mnadai point tatu mtapeleka ushahidi upi wa msimamizi wa mchezo husika? Maana Refa wala 4th official hakuwepo.
 
Walishindwa kumleta kolo kwa uwanja watawezaje mleta mwananchi?
 
Hili sakata Kuna watu wataanza kufungiwa Ili kuwatisha wengine kuwatia uoga wasiendele kuhoji pale maamuzi mabovu yatakapoendelea kutolewa
Hapa kuna hasara kubwa imetokea,kwa mfano jambo likipelekwa kipelelezi na mabaunsa wakabanwa wakasema ni fulani alitutuma.Ni mfano tu.Naungana na aliyesema kuna mtu atatembea uchi.
 
Sahihi kabisa. Kitakachoamua kama hii mechi itakuja kuchezwa ama la ni baada ya hizi timu mbili kucheza mechi kadhaa zinazofuata za ligi na ama kupoteza au kushinda mechi hizo. Hapo ndiyo utashangaa Simba ama Yanga anarudi kulazimisha na kudai hii mechi ifanyike maana ndiyo inaweza kufufua matumaini yao ya bingwa.

Ila mmoja akipoteza pwenti za kutosha katika mechi hizi kiasi cha kwamba mechi hii ya derby haiwezi kuleta utofauti, basi jua mechi haitakuja kuchezwa tena.
 
Simba haijasema haitocheza tena na Yanga msimu huu. Ipo tayari kucheza iwapo itapangiwa tarehe nyingine, Hilo la kutokucheza ili kupunguza gap ni uongo, uzushi na jungu lisilo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…