Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sio mtabiri bali naeleza yanayoendelea nje ya uwanja kuna vita kubwa ya viongozi na baadhi ya watu nje ya uwanja,mbaya zaidi wanaushawishi mpk Kwa wachezaji but not benchi la ufundiKwa hio Taifa Simba anakufa ngapi?
Kwa hio ngap atafungwa?Mm sio mtabiri bali naeleza yanayoendelea nje ya uwanja kuna vita kubwa ya viongozi na baadhi ya watu nje ya uwanja,mbaya zaidi wanaushawishi mpk Kwa wachezaji but not benchi la ufundi
Hio nakuachia ww na Ally Kamwe wakoKwa hio ngap atafungwa?
Simba anafungwa ngapi pale kwa Nkapa? Nimecheck gemu ya Simba nikacheck gemu ya Yanga, Yanga wanapeleka Moto Simba wanarukaruka tu wanakosa magoli ya wazi utulivu zeroHio nakuachia ww na Ally Kamwe wako
Kwa Style ya kocha wa simba Saido Ntiba ndio anaewanyima ushindi kwakua kocha anapenda one touch but yeye zile njia anaziziba Kwa either kua mchoyo or kutaka fanya mengi na nafasi kupotea,akicheza namba 10 Chama haya huyaoni,sijajua mkataba wa Saido Ntiba unasemaje Kwa kua uwanjani kl kukicha ingawa anairudisha timu nyuma or kupata ushindi Kwa taabu lkn bado anaanza game ya juzi aliharibu hizo nafasi mara 3.Simba anafungwa ngapi pale kwa Nkapa? Nimecheck gemu ya Simba nikacheck gemu ya Yanga, Yanga wanapeleka Moto Simba wanarukaruka tu wanakosa magoli ya wazi utulivu zero
Ndio nimekuuliza kwa Nkapa Simba anakufa ngapi?K
Kwa Style ya kocha wa simba Saido Ntiba ndio anaewanyima ushindi kwakua kocha anapenda one touch but yeye zile njia anaziziba Kwa either kua mchoyo or kutaka fanya mengi na nafasi kupotea,akicheza namba 10 Chama haya huyaoni,sijajua mkataba wa Saido Ntiba unasemaje Kwa kua uwanjani kl kukicha ingawa anairudisha timu nyuma or kupata ushindi Kwa taabu game ya juzi aliharibu hizo nafasi mara 3.
Comment yako hii, umeiandika kwa CHUKI uliyonayo, na si kusukumwa na uanamichezo! Hebu punguza ROHO MBAYA!Mbumbumbu wakizubaa hawaendi robo
Nashangaa wameshajiamisha wanadhani Jwaneng ni mnyonge
Jwaneng ni fundi wa kushinda away
Kampiga Simba Away
Kampiga wydad away
Makolo wajiangalie sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyani wana kelele sana! Nyani wana vituko sana! Ndio maana kongo drc nyani wanaliwa.Simba ni mbumbumbu we soma hata michango ya humu au nyuzi zao ndio utajua ma jamaa ni mbumbumbu sana
Hahahahahaha...mbumbumbu bhanaNyani wana kelele sana! Nyani wana vituko sana! Ndio maana kongo drc nyani wanaliwa.
Hata mi ningekuwa kiongozi sio kuwadharau tu, hata vibao ningewatandika. Mapuuzi kabisa.Simba ni mbumbumbu we soma hata michango ya humu au nyuzi zao ndio utajua ma jamaa ni mbumbumbu sana
Daaah😂😂😂Hata mi ningekuwa kiongozi sio kuwadharau tu, hata vibao ningewatandika. Mapuuzi kabisa.
Timu hili linaongozwa Kimbumbumbu
Unajua wewe kaangalieKwani mpaka Sasa Saido Ana magoli mangapi?