Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

K
Simba anafungwa ngapi pale kwa Nkapa? Nimecheck gemu ya Simba nikacheck gemu ya Yanga, Yanga wanapeleka Moto Simba wanarukaruka tu wanakosa magoli ya wazi utulivu zero
Kwa Style ya kocha wa simba Saido Ntiba ndio anaewanyima ushindi kwakua kocha anapenda one touch but yeye zile njia anaziziba Kwa either kua mchoyo or kutaka fanya mengi na nafasi kupotea,akicheza namba 10 Chama haya huyaoni,sijajua mkataba wa Saido Ntiba unasemaje Kwa kua uwanjani kl kukicha ingawa anairudisha timu nyuma or kupata ushindi Kwa taabu lkn bado anaanza game ya juzi aliharibu hizo nafasi mara 3.
 
K

Kwa Style ya kocha wa simba Saido Ntiba ndio anaewanyima ushindi kwakua kocha anapenda one touch but yeye zile njia anaziziba Kwa either kua mchoyo or kutaka fanya mengi na nafasi kupotea,akicheza namba 10 Chama haya huyaoni,sijajua mkataba wa Saido Ntiba unasemaje Kwa kua uwanjani kl kukicha ingawa anairudisha timu nyuma or kupata ushindi Kwa taabu game ya juzi aliharibu hizo nafasi mara 3.
Ndio nimekuuliza kwa Nkapa Simba anakufa ngapi?
 
Back
Top Bottom