Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

Viongozi wa Simba mkipeleka timu halafu ifungwe goli 5. Maama yangu weeeh

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu.
Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
 
Camara ameahidi ataachia magoli 5 ndani ya dakika 90. Kama mnataka kuepukana na hiyo dhahma, fanyeni aanze Ali Salim siku hiyo.
 
Kwa hiyo figisu figisu za paka fc hatuchezii hatuchezii!!! Mpaka mpate ripoti ya kikao ni kuogopa hamsaa eee.
 
Wakati mashabiki wengi wanasema timu isicheze. Sasa nyie pelekeni lakini muombe Mungu Simba ishinde tu.
Itokee ifungwe mtawaeleza nini mashabiki wu
hakuna ajuaye nini kitatokea siku hiyo,twendeni kucheza
 
Back
Top Bottom