Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Popoma inatakiwa ifikie wakati utambue ya kuwa wewe ni mtu mdogo sana. Kwanza huna faida yoyote ile kwenye timu, zaidi ya kubweka bweka tu humu jukwaani kama kambuzi kadogo 🐕🦺 ka shemeji zangu Wahehe.TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA
Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.
Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
Tatizo la simba ni wachezaji mchezaji wa simba anashindwa kufunga wakati goli kipa hayupo hadi anarudi kuokoa goli duu nyie nyie muogopeni MunguTatizo la Simba Ni kocha
Kama manjesta tu
Kocha anabahatisha
timu inasajili wachezaji airport unategemea nn hapoTAMKO TAKATIFU NA TUKUKA
Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.
Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
Umeongea point tupu. Wachache tutakuelewa.Simba msimtafute mchawi mlijibweteka sana mlipopata ngao ya jamii. Yanga ilipoliachia kombe la jamiii ilitasmini timu nzima na kuwapigia makelele mafoward wake kuwa ni butu. LEO simba kutoka sare pale zambia tuu basi wanalaumu wachezaji! mbona sare ya finali ya ngao ya jamii hamkumlaumu mchezaji ? kumbukeni ya kuwa Power dynamoo ya zambia sio timu ndogo na isingekubali kufa kikike nyumbani kwao/. Tafadhali sana SSC kaa chini utasmini makosa ili usonge mbele. Kocha wenu ni mzuri sana ila bahati ya ushindi haiukuwa yenu.
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA
Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.
Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
Onana, chezaji Zeeembe
Onana mchezaji mzuri tumpe mda au unaweza ukarudia ile mechi ukangalia movement zake kwenda mbele utakubali hawa wachezaji tuwape mda.Onana, chezaji Zeeembe
Kwani hujui kuwa huyo ni Mwanaume Mwanamke?Huu msemo umekaa ki-kike kike sana, nashangaa Wanaume ambao ni wapenzi/mashabiki wa Yanga wanapenda sana kuutumia
Upo sahihi kabisaTatizo la Simba ni Yanga mkuu. Kufanya vizuri kwa Yanga kunaivuruga Simba mpaka wanaona kama hawajafanya kitu lkn mbn wamepata matokeo mazuri tu ugenini.
Walizoea waoMwenyewe nashindwa kuwaelewa wanaoona kama Simba haifanyi poa.. matokeo ya 2-2 ugenini tayari n big win Kwa Simba maana ili atolewe inabidi Afungwe na power dynamo kitu ambacho kiuhalisia ni ngumu...
Sana Sana Sisi Yanga ndo tungekua tunawadhihaki Simba kutoa Sare Kwa maana ya "utani" Tu lakini napoona wanasimba wanalia Lia nashindwa kujua kama wanaelewa hata kinachoendelea...
Vinginevyo umetoa fact kubwa, Simba inaonekana si chochote Kwa sababu ya matokeo ya Yanga
Hawajitumi wanacheza kifaza mnoOnana mchezaji mzuri tumpe mda au unaweza ukarudia ile mechi ukangalia movement zake kwenda mbele utakubali hawa wachezaji tuwape mda.
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Kuna mada nyingine za kiuchozezi zinaanzishwa na watopolo halafu washabiki uchwara wa Simba wanaingia kichwa kichwa kuzidandandia bila kuelewa agenda ya mada hizo.Kama ni shabiki mwenzangubwa simba nasikitika ya kuwa na shabiki wa simba mwenye akili za kiutopolo mzamiru injini ile halafu siku zote "class is permanent but form is temporary" konachotekea sasa no form tuu class ya kapombe,Tshabalala inajulikana inaitajika mda na nafasi hawa wote watarudi katika ubora wao, kanoute naungana nawewe labda kwakua kanoute mpira wake ni wakufundishwa sana darasani hana uwezo binafsi ni mchezaji wa mbinu na mipango ya mwalimu sana,kwa uchezaji wake apambane sana maana namba atapoteza maana kuna mda unatakiwa uonyeshe uwezo binafsi kanoute kitu icho hana