Viongozi wa Simba SC mnaonisoma GENTAMYCINE 24/7 hapa tafadhali nifikishieni hili Tamko langu Takatifu na Tukuka kwa Wachezaji wote wa Simba SC

TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA

Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.

Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
Popoma inatakiwa ifikie wakati utambue ya kuwa wewe ni mtu mdogo sana. Kwanza huna faida yoyote ile kwenye timu, zaidi ya kubweka bweka tu humu jukwaani kama kambuzi kadogo 🐕‍🦺 ka shemeji zangu Wahehe.
 
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA

Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.

Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.
timu inasajili wachezaji airport unategemea nn hapo
 
Simba msimtafute mchawi mlijibweteka sana mlipopata ngao ya jamii. Yanga ilipoliachia kombe la jamiii ilitasmini timu nzima na kuwapigia makelele mafoward wake kuwa ni butu. LEO simba kutoka sare pale zambia tuu basi wanalaumu wachezaji! mbona sare ya finali ya ngao ya jamii hamkumlaumu mchezaji ? kumbukeni ya kuwa Power dynamoo ya zambia sio timu ndogo na isingekubali kufa kikike nyumbani kwao/. Tafadhali sana SSC kaa chini utasmini makosa ili usonge mbele. Kocha wenu ni mzuri sana ila bahati ya ushindi haiukuwa yenu.
Umeongea point tupu. Wachache tutakuelewa.
 
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA

Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake upesi sana na atupishe. Kuanzia Mchezo weru wa Ligi Kuu ya NBC ya Jumatano au Alhamisi dhidi ya Coastal Union FC Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi ) Saa 10 Kamili Jioni tunataka kuona mabadiliko makubwa kwa Wachezaji kujitoa kweli huku wakivuja Jasho na ikiwezekana watokwe hata na Damu kwa ajili ya Kuipambania Simba SC yetu. Wasipobadilika na wakiendelea na huu Upuuzi wao kiukweli Watatusamehe kwani wale ambao tunawamudu Kiubavu tutawapiga mno tu Viwanjani na hata Mitaani / Maskani tunakokaa na kukutana nao Kutwa na kwa wale ambao kutokana na Kukomaa Kwao na kuwa na Nguvu nyingi na Ubavu hatutoweza Kuwapiga tutakachofanya ni Kuwapopoa tu kwa Mawe au hata Kuvunja Vioo vya Magari yao ya Kifahari. Tumechoka kwakweli.

Wenu Mtoa Tamko Mkuu GENTAMYCINE.

Je wanalipwa maslahi yao kwa wakati ?
 
Hivi mbona Israel mwenda yupo vizuri tu kwann hapewi nafasi ya kucheza???.....Mimi binafsi shomari kapombe toka msimu ulioisha sielewagi anacheza Nini,,,Ni jina tu linambeba....pasi mbovu,,krosi za mihemko anapiga bila kuangalia anampigia Nani kiufupi mistakes nyingi na kiwango hakuna........alafu kenge mmoja shabiki haoni haya anaishia kumlalamikia kibu fvck off!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Simba ni Yanga mkuu. Kufanya vizuri kwa Yanga kunaivuruga Simba mpaka wanaona kama hawajafanya kitu lkn mbn wamepata matokeo mazuri tu ugenini.
Upo sahihi kabisa
Kipimo cha furaha ya Simba Ni Yanga kuvuruga na kipimo cha furaha ya Yanga Ni Simba kuvuruga
 
Mwenyewe nashindwa kuwaelewa wanaoona kama Simba haifanyi poa.. matokeo ya 2-2 ugenini tayari n big win Kwa Simba maana ili atolewe inabidi Afungwe na power dynamo kitu ambacho kiuhalisia ni ngumu...
Sana Sana Sisi Yanga ndo tungekua tunawadhihaki Simba kutoa Sare Kwa maana ya "utani" Tu lakini napoona wanasimba wanalia Lia nashindwa kujua kama wanaelewa hata kinachoendelea...

Vinginevyo umetoa fact kubwa, Simba inaonekana si chochote Kwa sababu ya matokeo ya Yanga
Walizoea wao
Bado wanahisi Yanga ya kina sarpong ndio Yanga hii ya kina pacome
Kitendo cha Yanga kushinda ugenini kwenye mashindano ambayo walikua wanajipiga kifua kua ni ya wababe kimewaumiza Sana kiasi wanasahau matokeo yao
Laiti Yanga angefungwa Jana Ile jumamosi hizi kelele wala zisingekuwepo ,Zaidi zingeniua Tambo za "tuliwaambia,tuliwaambia"
Na iwapo ikitokea Simba akatolewa katika hatua yoyote ya hii michuano halafu Yanga akaivuka hiyo hatua, watauana pale jengoni kwao,watatafuta kila mchawi
 
Kama ni shabiki mwenzangubwa simba nasikitika ya kuwa na shabiki wa simba mwenye akili za kiutopolo mzamiru injini ile halafu siku zote "class is permanent but form is temporary" konachotekea sasa no form tuu class ya kapombe,Tshabalala inajulikana inaitajika mda na nafasi hawa wote watarudi katika ubora wao, kanoute naungana nawewe labda kwakua kanoute mpira wake ni wakufundishwa sana darasani hana uwezo binafsi ni mchezaji wa mbinu na mipango ya mwalimu sana,kwa uchezaji wake apambane sana maana namba atapoteza maana kuna mda unatakiwa uonyeshe uwezo binafsi kanoute kitu icho hana

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Kuna mada nyingine za kiuchozezi zinaanzishwa na watopolo halafu washabiki uchwara wa Simba wanaingia kichwa kichwa kuzidandandia bila kuelewa agenda ya mada hizo.
 
Back
Top Bottom