Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

Trump ni Kiongozi wa US ambaye Hana heshima kabisa. Mjadala ule Kati ya Trump na Zelensky ulipaswa ufanyike Behind the Camera. Ameinajisi ikulu ya White House kwa kuvunja miiko na Itifaki zote kabisa za namna ya kuendesha Ikulu.
Mkutano huo ni kama ulilenga mahsusi katika kumdhalilisha Rais Zelensky.

Hii itachagiza sana kuongeza fukuto la upinzani Ndani ya Marekani katika kuupinga Utawala wa Trump
 
Nasubiri kusikia ‘John Bolton’ outtake on what just happened.
Wote hao hawataki kuwasikia yaani trump hawataki establishment

Trump anataka kuzungukwa na watu kama jd vance, elon musk, michael rubio ambao hawana experience yeyote ile ya nchi yao na dunia kwa ujumla

Kuna mambo musk anaongea sio mmarekani lakin unasikitika sana kuna mambo mengi sana kwenye siasa hayajui na ndo watu wa karibu wa trump
 
Nilisoma mahali kuwa mama yake (na wanawake wengi aliowadhulumu) walimuachia laana!🤣🤣

Nikiobacho soon Mission ya Russia itakamilika! Marekani itaondoshwa kwenye nafasi yake duniani!
 
Tatizo democrat wao kama wapinzania wamesusa baada ya kushindwa uchaguzi
Currently democrat hawana kiongozi yeyote ambaye anatakiwa astep up nyakati hizi lakin kwa bahati mbaya hayupo

Huu ni mda wa kamala haris ila haonekani kama yupo
 
Yaani nimefuatilia ile minyukano... Moyo una amani kabisa!
Wiki hii mwanzoni Emmanuel Macron naye alimnyoosha Trump! Kuna mwanamama governor naye alimnyookea Trump!

Trump is a bully! Sasa naelewa waliposema viongozi wengi huwa wanamdharau!
Anatafuta thamani/heshima ambayo hana, iko siku atakufa kwa Pressure akiendelea hivi. Huwezi kutokuwaheshimu watu, ukawa unatumia pesa kama fimbo ya kuwalainisha.

Kuna watu hawajali kuhusu pesa yako.

Angeonyesha hata heshima kwamba huyo naye ni rais, lakini anataka kumdogosha kijinga kabisa.

Kwanza kulikuwa na haja gani kuweka maongezi yao live, au ndio walikuwa wamejiandaa kumkaanga, akaruka kutoka kwenye kikaangio.
 
Hoja Yako ilikuwa nzuri, lkn ulipoingiza udini na chuki zako kwa jamii flani wewe na wenzako mlioamua kuichukia basi umeonekana mshamba na lofa tu usiyejua lolote. Hao mabwana zenu mnaowasujudia na mlio tayari kuwapa Bure sehemu zozote za miili yenu wanawakimbilia Kila leo hao mnawachukia kwa ajili ya kufanya biashara. Ni ,ngese mno mtu wa Karne hii asiyejua kuwa sayansi inaenda kule fedha iliko.....asiyejua kuwa Hela ni sayansi!

Kalagha bao, endeleeni kukaa na michuki yenu hiyo lkn kamwe hamtokuja kuona hata siku Moja mkiwapita hao mnawachukia kwa njia hiyo ya wivu, fitna na majungu.
 
Inashangaza Sana, mjadala wa Marais utafikiri ni ugomvi wa walevi katika Klabu ya pombe za kienyeji!!!?
 
Nilisoma mahali kuwa mama yake (na wanawake wengi aliowadhulumu) walimuachia laana!🤣🤣

Nikiobacho soon Mission ya Russia itakamilika! Marekani itaondoshwa kwenye nafasi yake duniani!
Trump anaifanya marekani kuwa nchi ya kawaida na sio superpower tena na hii itaishusha marekani kwenye mambo mengi

European countries zilivyoachana na ukoloni ndo kwisha habari yao
Nilisoma mahali kuwa mama yake (na wanawake wengi aliowadhulumu) walimuachia laana!🤣🤣

Nikiobacho soon Mission ya Russia itakamilika! Marekani itaondoshwa kwenye nafasi yake duniani!
 
Tuambie marafiki zako tukwambie ilivyo!
Trump mwenyewe hajui politics.
Sasa mbele ya media kwenye bilateral and diplomatic negotiations zilizokorogeka kama zile kwanini alimtukana Joe Biden? Why alim-attack Obama?
 
Kila Raisi anaeenda kuonana na trump kwa sasa anapangiwa miadi na psychologist wake aampe mbili tatu za kukabiliana trump mindset......
 
Tuambie marafiki zako tukwambie ilivyo!
Trump mwenyewe hajui politics.
Sasa mbele ya media kwenye bilateral and diplomatic negotiations zilizokorogeka kama zile kwanini alimtukana Joe Biden? Why alim-attack Obama?
Trump na samia amenifundisha unaweza ukawa mtu mwenye upeo mdogo sana alafu ukafanikiwa sana au ukashika nafasi kubwa

Nimeamini kwenye maisha sio lazima uwe smart ili ufanikiwe unaweza ukawa deluded kama trump na bado ukafika level za juu sana
 
Umeongea kitu muhimu sana. Very futuristic! Very predictive!
Ki-uongozi Trump ni mithili ya yule JPM wa Tanzania.
Pengine akanywa kikombe chake!
 
Trump na samia amenifundisha unaweza ukawa mtu mwenye upeo mdogo sana alafu ukafanikiwa sana au ukashika nafasi kubwa

Nimeamini kwenye maisha sio lazima uwe smart ili ufanikiwe unaweza ukawa deluded kama trump na bado ukafika level za juu sana
Na hasa kwenye uongozi... Unaweza kuokota dodo chini ya mnazi!
SSH ukimsikiliza kwa makini unasema daah hakuna haja ya kupeleka mtoto formal education!
 
Link ya mazungumzo naipataje wadau
 
Yaani nimefuatilia ile minyukano... Moyo una amani kabisa!
Wiki hii mwanzoni Emmanuel Macron naye alimnyoosha Trump! Kuna mwanamama governor naye alimnyookea Trump!

Trump is a bully! Sasa naelewa waliposema viongozi wengi huwa wanamdharau!
Naomba link yao mkuu
 
Bolton aliisha sikitika akamaliza, hapa sidhani kama John Bolton anahitajika. Kwa hili wamuulize hata reporter wa Azam TV anaweza kutoa analysis nzuri tu.
Nafikiria namna alivyoongelea kwenye kitabu chake changamoto za ku water down maswala ambayo Trump alikuwa anataka kuyaongea na viongozi wenzake.

Sasa hivi inaonekana huko white house hakuna wa kumfunga kamba Trump ni mwendo wa free flaw .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…