Wote vyama vya siasa kuanzia CCM na upinzani hakuna hata anayeongelea hili iwe bungeni au popote .Sababu watoto wao Wako English medium hawajali hao Wengine Loooooh!. Roho mbaya kabisaaaMkuu YEHODAYA waambie CCM yenu muhimili uliojichimbia chini zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili kibaki tu Kama somoNaunga mkono hoja , waache unafiki , hii lugha ya kiswahili inatuchelewesha Sana haina exposure. Yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu hata wapiga yowe wa kutaka kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Hadi.chuo kikuu watoto wao wanasomesha English medium schools.Ni uhuni na unafiki uliopindukiaNaunga mkono hoja , waache unafiki , hii lugha ya kiswahili inatuchelewesha Sana haina exposure. Yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachina na warusi Nini kimewapa exposure? Acheni uvivuNaunga mkono hoja , waache unafiki , hii lugha ya kiswahili inatuchelewesha Sana haina exposure. Yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mijadala kama hii ni bora ungekuwa unapitia coments ili ujifunze kitu, kuliko kuandika usichokijua!Akili kama hii ikiingia 2020 inabidi tulie kilio Cha kusaga meno kwa sababu tutaangamiza taifa letu
Jibu swali sio blah blah Shwain
Shwain Bibi yako aliemzaa baba ako akakuzaa ww Mwenye akili za kishwain ambazo hazion lipi zuri na lip bayaJibu swali sio blah blah Shwain