Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu.

Karibu!
 
Hao ccm ndio viongozi wa upinzani ?
Wamefadhiliwa na lumumba kwenye hicho kichanel cha ccm
 
Ila bado ukweli ni ule ule waanzania wa leo sio kama wale wa zamani, mfano sasa hivi mazezeta yanaongezeka kwa kasi!
Ndio mazezets na mbwigas ni wengi mno.......We uliona wapi chama kina ruzuku ya zaidi ya sh miliomi 326 kila mwezi lakini bado wabunge wake wanakubali kukatwa sh laki 5 kila mwezi " eti" kuchangia chama!!!........ Sasa huo kama siyo uzezeta ni nini?!
 
Back
Top Bottom