johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Tuko kwenye kampeni njaa itatoka wapi bwashee?!Njaa inamsumbua huyo anahangaika kama anakaribia kukata roho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko kwenye kampeni njaa itatoka wapi bwashee?!Njaa inamsumbua huyo anahangaika kama anakaribia kukata roho.
Hela atoe nani wakati mushapita bila kupingwa, wewe unafikiri hata wanachama wenu wamefurahia huu usanii unaofanyika. Ndiyo maana wamesusa kwenye kampeni zenu magumashi hadi mnaviangukia vitoto vidogo.Tuko kwenye kampeni njaa itatoka wapi bwashee?!
Kweli kabisa, ila kinachouma zaidi ni mazezeta ambayo hayawezi kuhoji/kuuliza, mtu akisema leo hiki wanaunga mkono, kesho akibadili kauli yanaunga mkono, yaani inakera sana!Ndio mazezets na mbwigas ni wengi mno.......We uliona wapi chama kina ruzuku ya zaidi ya sh miliomi 326 kila mwezi lakini bado wabunge wake wanakubali kukatwa sh laki 5 kila mwezi " eti" kuchangia chama!!!........ Sasa huo kama siyo uzezeta ni nini?!
Hakika mkuu...... Mbowe akisema mgombea wetu ni Dr Slaa mbwigas wanapiga makofi.....akibadili gia angani na kumleta Lowassa "wa" CCM kuwa mgombea badala ya Dr Slaa wanapiga tena makofi na vigeregere yaani Ufipa ni bure kabisa!Kweli kabisa, ila kinachouma zaidi ni mazezeta ambayo hayawezi kuhoji/kuuliza, mtu akisema leo hiki wanaunga mkono, kesho akibadili kauli yanaunga mkono, yaani inakera sana!
Mkuu nimeipenda hii research ya jinsi CCM ilivyoharibika. Hapa umetimiza sharti kuu, NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.
Sasa wanaochangia chama chao hawaumii Ila wewe huko uliko unawashwa! Hizo ndio zinaitwa NYEGE mshindo, vilio vya mahaba unavisikia chumba cha pili viuno unakata wewe!Ndio mazezets na mbwigas ni wengi mno.......We uliona wapi chama kina ruzuku ya zaidi ya sh miliomi 326 kila mwezi lakini bado wabunge wake wanakubali kukatwa sh laki 5 kila mwezi " eti" kuchangia chama!!!........ Sasa huo kama siyo uzezeta ni nini?!
Kweli mkuu si unaona hili ingizo jipyaChama ambacho madume yanakunishwa Nazi kwa foleni? Ndio maana mashoga wengi ndani ya CCM.View attachment 1265664
Hicho ndicho kilichowakimbiza wale wabunge wenu 10!Sasa wanaochangia chama chao hawaumii Ila wewe huko uliko unawashwa! Hizo ndio zinaitwa NYEGE mshindo, vilio vya mahaba unavisikia chumba cha pili viuno unakata wewe!
We imba mapambio ya kumsifu dume lenu lenye uwezo wa kuwafanya lolote na mkashangilia ya Chadema chama chenye watu makini achana nacho. Sawa?View attachment 1265663
Hiki chama kimejaa wendawazimu!