Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Tuko kwenye kampeni njaa itatoka wapi bwashee?!
Hela atoe nani wakati mushapita bila kupingwa, wewe unafikiri hata wanachama wenu wamefurahia huu usanii unaofanyika. Ndiyo maana wamesusa kwenye kampeni zenu magumashi hadi mnaviangukia vitoto vidogo.
 
Ndio mazezets na mbwigas ni wengi mno.......We uliona wapi chama kina ruzuku ya zaidi ya sh miliomi 326 kila mwezi lakini bado wabunge wake wanakubali kukatwa sh laki 5 kila mwezi " eti" kuchangia chama!!!........ Sasa huo kama siyo uzezeta ni nini?!
Kweli kabisa, ila kinachouma zaidi ni mazezeta ambayo hayawezi kuhoji/kuuliza, mtu akisema leo hiki wanaunga mkono, kesho akibadili kauli yanaunga mkono, yaani inakera sana!
 
Kweli kabisa, ila kinachouma zaidi ni mazezeta ambayo hayawezi kuhoji/kuuliza, mtu akisema leo hiki wanaunga mkono, kesho akibadili kauli yanaunga mkono, yaani inakera sana!
Hakika mkuu...... Mbowe akisema mgombea wetu ni Dr Slaa mbwigas wanapiga makofi.....akibadili gia angani na kumleta Lowassa "wa" CCM kuwa mgombea badala ya Dr Slaa wanapiga tena makofi na vigeregere yaani Ufipa ni bure kabisa!
 
Mkuu nimeipenda hii research ya jinsi CCM ilivyoharibika. Hapa umetimiza sharti kuu, NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.
Hakika Nyerere, Kawawa,Sokoine,Nnauye nk walio anzisha CCM wafufuliwe walao dakika 5 na kuona chama kimegeuka kuwa cha KIFALA namna hii wanaweza kuua mtu kisha kufa tena.
 
Ndio mazezets na mbwigas ni wengi mno.......We uliona wapi chama kina ruzuku ya zaidi ya sh miliomi 326 kila mwezi lakini bado wabunge wake wanakubali kukatwa sh laki 5 kila mwezi " eti" kuchangia chama!!!........ Sasa huo kama siyo uzezeta ni nini?!
Sasa wanaochangia chama chao hawaumii Ila wewe huko uliko unawashwa! Hizo ndio zinaitwa NYEGE mshindo, vilio vya mahaba unavisikia chumba cha pili viuno unakata wewe!
We imba mapambio ya kumsifu dume lenu lenye uwezo wa kuwafanya lolote na mkashangilia ya Chadema chama chenye watu makini achana nacho. Sawa?
IMG-20191117-WA0001.jpeg
 
Chama ambacho madume yanakunishwa Nazi kwa foleni? Ndio maana mashoga wengi ndani ya CCM.
tapatalk_1574057991740.jpeg
 
Sasa wanaochangia chama chao hawaumii Ila wewe huko uliko unawashwa! Hizo ndio zinaitwa NYEGE mshindo, vilio vya mahaba unavisikia chumba cha pili viuno unakata wewe!
We imba mapambio ya kumsifu dume lenu lenye uwezo wa kuwafanya lolote na mkashangilia ya Chadema chama chenye watu makini achana nacho. Sawa?View attachment 1265663
Hicho ndicho kilichowakimbiza wale wabunge wenu 10!
 
Hakuna kiongozi wa chama cha upinzani anayeweza kueneza sera zake kwa kitumia TV ya CCM. Hao ni CCM au makuwadi wao.
 
Back
Top Bottom