johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hao ccm ndio viongozi wa upinzani ?Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu.
Karibu!
Maendeleo hayana vyama bwashee!Wameenda kwenye televisheni ya chama kabisa.
Una uhakika bwashee?!!Hao ccm ndio viongozi wa upinzani ?
Wamefadhiliwa na lumumba kwenye hicho kichanel cha ccm
Watanzania ndio wale wale bwashee!Wa TZ wa Leo sio wale wa miaka ileeee
Ni wale wale ila fikra na mitazamo ni tofauti na wa zamani!Watanzania ndio wale wale bwashee!
Hawana fikra zozote tofauti!Ni wale wale ila fikra na mitazamo ni tofauti na wa zamani!
We wasema hivyo kutokana na fikra zako!Hawana fikra zozote tofauti!
Vyama vya upinzani vilivyokuwepo kabla ya uhuru ni bora kuliko hivi vya leo!We wasema hivyo kutokana na fikra zako!
Ila bado ukweli ni ule ule waanzania wa leo sio kama wale wa zamani, mfano sasa hivi mazezeta yanaongezeka kwa kasi!Vyama vya upinzani vilivyokuwepo kabla ya uhuru ni bora kuliko hivi vya leo!
Njaa inamsumbua huyo anahangaika kama anakaribia kukata roho.Eti viongozi nguli wa kisiasa...ila we jamaa
bwashe ba ba koWatanzania ndio wale wale bwashee!
Ndio mazezets na mbwigas ni wengi mno.......We uliona wapi chama kina ruzuku ya zaidi ya sh miliomi 326 kila mwezi lakini bado wabunge wake wanakubali kukatwa sh laki 5 kila mwezi " eti" kuchangia chama!!!........ Sasa huo kama siyo uzezeta ni nini?!Ila bado ukweli ni ule ule waanzania wa leo sio kama wale wa zamani, mfano sasa hivi mazezeta yanaongezeka kwa kasi!
Basi wewe ni mangi.........haya chekelea sasa!bwashe ba ba ko