Viongozi wa Yanga mbona hamtupi majibu ya hoja zenu

Doji MD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,577
Reaction score
5,587
Mlisema amchezi bila kulipwa fedha zenu za ubingwa wa ligi zilizopita(CRDB CUP),
Nauliza tu, au ndio zishalipwa kimya kimya.....?
 
Muhimu ni kuwa tumefunga msimu na makombe matano.
Makolo na kibegi chao mbona hawatuambii makombe yalipo?
 
Haha sawa ngoja tufuate mkumbo wa furaha
 
Mlisema amchezi bila kulipwa fedha zenu za ubingwa wa ligi zilizopita(CRDB CUP),
Nauliza tu, au ndio zishalipwa kimya kimya.....?
Hatujalupwa, tulisongesha na bado wanatudai
 
Back
Top Bottom