mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Huyo ni topolo og.Umenuna kolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni topolo og.Umenuna kolo
Chama yeye ukimnunulia Konyagi tu, anasajili Yanga.Kipaji anacho tusimbeze.
Kama atapata maslahi mazuri, viongozi waachane nae.
Wamlete Chama ambae hana bei kali anaweza kukaribia Aziz ki kipindi wanajipanga
Kwani ni demu gani huyo?Aziz anaweza asiondoke ila ataflop sana maana kadondokea kwa tununu mwenye gundu lake town
Chama NI Bora kuliko Aziz Ki huo ndo ukweli mchunguChama!!! Heh.. hilo garrassa
1.3B sio ishu ya kitotoChama na Aziz hawaachani mbali Kwa viwango
Ukiwa na ela unachoshindwa ni kuhonga hili usife basi.
Tofauti ya Chama na Aziz Ki, Aziz Ki anakupa matokeo hata kwenye mechi ngumu.Chama NI Bora kuliko Aziz Ki huo ndo ukweli mchungu
Tuache unafki,hana maajabu wakati karibia kila mechi anafunga na kutoa assist? Halafu ni kiungo ila ana magoli mengi kuliko mafowards wa YangaAlafu hana maajabu kiviiile...
Kama kachoka aende tu
Wewe unatoa kiasi gani?.Ki haondoki ng’o hata billion 3 tutampa.😊
Mayele alienda...Tuache unafki,hana maajabu wakati karibia kila mechi anafunga na kutoa assist? Halafu ni kiungo ila ana magoli mengi kuliko mafowards wa Yanga