Umefanya analysis yako kwa kushirikisha ubongo wako? Hapo unazungumzia timu au viongozi wa timu?Ukweli ni kwamba Simba na Yanga ni timu za kiislam
Lakini nje ya hapo pia wachezaji wengi wa mpira nchini ni waislam
Simba = IDFYanga=Hamas
Wachezaji wengi wa mpira na wanamuziki wengi NCHINI ni waislamu kwa sababu ya Nyerere.Ukweli ni kwamba Simba na Yanga ni timu za kiislam
Lakini nje ya hapo pia wachezaji wengi wa mpira nchini ni waislam
Halafu ni watukanaji balaaYanga=Hamas
Mnamuonea Nyerere bure tu hivi ulitegemea kina Meja Kunta uje kuwaona Udsm kweliWachezaji wengi wa mpira na wanamuziki wengi NCHINI ni waislamu kwa sababu ya Nyerere.
Nyerere aliweka mfumo ambao uliwabagua waislamu kwenye elimu.
Matokeo yake waislamu wengi nchini Tanzania wakaingia kwenye;
1. Michezo
2. Biashara.
3. Sanaa na burudani.
4. Wengine wakaenda ughaibuni kutafuta maisha.
Waliobaniwa kwenye elimu sasa wana shine kwenye michezo sanaa na burudani , biashara, na wengi wapo ughaibuni huko wanafanya maisha.
Moral of the story: Never put a full stop on someone's life cause God May remove your full stop and put a comma in it stead. And what he will write after the coma is what u will never like.
Acheni Mungu aendelee kuitwa Mungu
Wewe ni mnafiki sana baba wa taifa alizichukua shule za kikristo na kuzifanya zisiwe za kidini Ili hayta waislamu wasome shule hizo,sidhani kama Kuna shule za kiislamu alitaifishaWachezaji wengi wa mpira na wanamuziki wengi NCHINI ni waislamu kwa sababu ya Nyerere.
Nyerere aliweka mfumo ambao uliwabagua waislamu kwenye elimu.
Matokeo yake waislamu wengi nchini Tanzania wakaingia kwenye;
1. Michezo
2. Biashara.
3. Sanaa na burudani.
4. Wengine wakaenda ughaibuni kutafuta maisha.
Waliobaniwa kwenye elimu sasa wana shine kwenye michezo sanaa na burudani , biashara, na wengi wapo ughaibuni huko wanafanya maisha.
Moral of the story: Never put a full stop on someone's life cause God May remove your full stop and put a comma in it stead. And what he will write after the coma is what u will never like.
Acheni Mungu aendelee kuitwa Mungu
Kama unakereka acha kusHawa watu huwa hata hawajishtukii, timu zote mbili kubwa zinaendeshwa kidini na dini hiyo. Kuna siku waliandaa parade la Kupokea kombe, wakaandaa Sala walileta wazee wa dini hiyo tuu wakisalisha kiarabu. Wala hawajishtukii.
Kwa mstaarabu yeyote unapoongea na hadhira yenye Imani tofauti, epuka Sana kuvitumia salamu ya dini yako, hata kama tafsiri yake ni nzuri Sana. Na ikibidi kusalimia kidini basi tumia salamu zote tena Anza na ile ambayo sii ya kwako.
NAMPONGEZA SANA DOCTOR SAMIA SULUHU KWA KULITAMBUA HILO NA KUBUNI SALAMU YA TAIFA ISIO NA MRENGO WA KIDINI.NA KWA SALAMU HII NAMTUNUKU UPROFESA
Kama una kereka acha kudhabikia vilabu hivi vikubwa nenda kashabikie Ihefu inayo toka mbeya .Hawa watu huwa hata hawajishtukii, timu zote mbili kubwa zinaendeshwa kidini na dini hiyo. Kuna siku waliandaa parade la Kupokea kombe, wakaandaa Sala walileta wazee wa dini hiyo tuu wakisalisha kiarabu. Wala hawajishtukii.
Kwa mstaarabu yeyote unapoongea na hadhira yenye Imani tofauti, epuka Sana kuvitumia salamu ya dini yako, hata kama tafsiri yake ni nzuri Sana. Na ikibidi kusalimia kidini basi tumia salamu zote tena Anza na ile ambayo sii ya kwako.
NAMPONGEZA SANA DOCTOR SAMIA SULUHU KWA KULITAMBUA HILO NA KUBUNI SALAMU YA TAIFA ISIO NA MRENGO WA KIDINI.NA KWA SALAMU HII NAMTUNUKU UPROFESA
Labda madrasaWewe ni mnafiki sana baba wa taifa alizichukua shule za kikristo na kuzifanya zisiwe za kidini Ili hayta waislamu wasome shule hizo,sidhani kama Kuna shule za kiislamu alitaifisha
Kaka nenda mpaka TFF angalia wakati wa kutoa tuzo pale Tanga yani mpaka kalio nae ni ivo ivo adi unajiuliza "uyu kalio amepataje urais..??"Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance.
View: https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl
Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia fikra zetu.
Binafsi hili jambo linanikwaza sana, Viongozi wa Yanga nivema mkachagua salamu inayohusu club yetu, au kama utasalimia kwa salamu ya kidini basi ubalance.
Waache uhuni, wasitawaliwe na mihemko ya dizaini hiyo.Hawa watu huwa hata hawajishtukii, timu zote mbili kubwa zinaendeshwa kidini na dini hiyo. Kuna siku waliandaa parade la Kupokea kombe, wakaandaa Sala walileta wazee wa dini hiyo tuu wakisalisha kiarabu. Wala hawajishtukii.
Kwa mstaarabu yeyote unapoongea na hadhira yenye Imani tofauti, epuka Sana kuvitumia salamu ya dini yako, hata kama tafsiri yake ni nzuri Sana. Na ikibidi kusalimia kidini basi tumia salamu zote tena Anza na ile ambayo sii ya kwako.
NAMPONGEZA SANA DOCTOR SAMIA SULUHU KWA KULITAMBUA HILO NA KUBUNI SALAMU YA TAIFA ISIO NA MRENGO WA KIDINI.NA KWA SALAMU HII NAMTUNUKU UPROFESA
Yaani limtu linatoa press conference na hadhira ni watu wenye Imani tofauti na wengine hawana dini unaongea nao kama unaitoa mawaidha kwenye tatawea. Kuna watu hawana exposure ya kijamii wanaamini kile wslichokatirishwa tuu. Lakini ukiwa kiongozi Kuna mambo ambayo unatakiwa ujifunze diplomasia ya kuongea na watu mchanganyikoWaache uhuni, wasitawaliwe na mihemko ya dizaini hiyo.