Acha kuwaza kama kuku wewe. Kuzaliwa pwani ,sehemu sio kigezo lakini hapa tunatathmini hotuba ya mtu mzima na sio mtoto wa madrasa au Sunday school aliyelishwa propaganda za kufundishia dini ili aione dini yake ni Bora zaidi ya dini nyingine.
Ukizaliwa sehemu sehemu ambayo dini Fulani ni dominant ,mafundisho ya utotoni hujazwa upepo kuwa dini yako ni Bora zaidi na watu wema na watenda mema zaidi ni waamini wa dini yako. Lakini kadiri unapokuwa unakwenda shule unakutana na watu wa Imani nyingine, unaishi nao unaanza kuona upotofu wa Yale mafundisho ya dini ya awali. Unaanza kugundua Wana mambo mema kuliko hata wa kwako, unakuwa na urafiki. Unaheshimiana kwa kudhamini tofauti zenu za kiimani lakini kwa waislamu wanajua wazi wanakwaza watu lakini wanatumia unable tuu kuwasalimia watu kwa SALAMU ya dini Yao. Hata kama utstafsiri useme ni maneno mazuri bado haissidii.
Mbona wachhaga wanatoka sehemu ambazo hata hawajawahi kuuona msikiti lakini wakifika mjini wanabadilika gafla hawawezi kumkwaza muislam kwa kumsalimia Bwana asifiwe?