Viongozi wa Yanga na Salamu za Dini moja

Assalaam alaykum maana yake amani iwe nanyi
 
Wewe ni mnafiki sana baba wa taifa alizichukua shule za kikristo na kuzifanya zisiwe za kidini Ili hayta waislamu wasome shule hizo,sidhani kama Kuna shule za kiislamu alitaifisha
Kutaifisha shule ilikua trick ya kuwazuwia waislam wasijenge shule ili wawachuje vizuri hukohuko,haikuwa wema
 
Usimsingizie Nyerere. Mimi siyo shabiki wake lakini kwa hili umebugi. Waislamu wengi gawatilii masnani elimu kwa watoto wao.
Nilikuwa naudhi maeneo ya Msisiri jaribu na Nwananyamala hospital. Nilipotaka kumprleja mtoto chejechea gakukuwa naxshike hata moja kwenye la km za mraba 10. Ikabidi nipeleke mtoto kinondoni mjini. Lakini kulikuwa na madrasa zaidi ya 5 kwenye eneo hilo. Kwa hiyo inaonyesha priority yao iko wapi.
 
Uko sahihi sana mkuu, exposure ni kitu muhimu sana. Elimu ya darasani pekee haitoshi.
 
Waislam hawana Mungu wana Allah so waache kutaja taja Mwenyezi Mungu kwa Mungu ana roho na Allah hana Roho Jiwe jeusi. Salam hawajatoa kusudi wamejazwa chuki tokea utotoni mwao Ndio kama Hamas
 
Waislam hawana Mungu wana Allah so waache kutaja taja Mwenyezi Mungu kwa Mungu ana roho na Allah hana Roho Jiwe jeusi. Salam hawajatoa kusudi wamejazwa chuki tokea utotoni mwao Ndio kama Hamas
Ohooo
 
Assalaam alaykum maana yake amani iwe nanyi
Waislamu wanaamini salamu hii ina thawabu na thawabu huongezeka ukiitaja mpaka mwisho, hivyo wao huitumia kupata thawabu sasa huu ni uhuni endapo kiongozi wa watu wa dini mbalimbali ataacha kujali hisia za watu wanao amini tofauti nayeye, mfano binafsi huwa nafurahi kuona kiongozi ana balance au kama hataki atusalimie kwa salamu zisizo fungamana na imani yoyote.
 
Nimesema maana yake ni amani iwe nanyi
 
Wengi wa Viongozi wa Simba na Yanga ni waislam tena si Tu waislam Bali ni watu wa pwani. Wao wamekulia maisha hayo na hiyo ndio salam Yao na wakristo wengi waishio maeneo ya pwani wameshazoea .

Tunaoshangaa ni sis tuliobara , tunaona mikutano hiyo mitandaoni Tu.
 
Acha kuwaza kama kuku wewe. Kuzaliwa pwani ,sehemu sio kigezo lakini hapa tunatathmini hotuba ya mtu mzima na sio mtoto wa madrasa au Sunday school aliyelishwa propaganda za kufundishia dini ili aione dini yake ni Bora zaidi ya dini nyingine.

Ukizaliwa sehemu sehemu ambayo dini Fulani ni dominant ,mafundisho ya utotoni hujazwa upepo kuwa dini yako ni Bora zaidi na watu wema na watenda mema zaidi ni waamini wa dini yako. Lakini kadiri unapokuwa unakwenda shule unakutana na watu wa Imani nyingine, unaishi nao unaanza kuona upotofu wa Yale mafundisho ya dini ya awali. Unaanza kugundua Wana mambo mema kuliko hata wa kwako, unakuwa na urafiki. Unaheshimiana kwa kudhamini tofauti zenu za kiimani lakini kwa waislamu wanajua wazi wanakwaza watu lakini wanatumia unable tuu kuwasalimia watu kwa SALAMU ya dini Yao. Hata kama utstafsiri useme ni maneno mazuri bado haissidii.

Mbona wachhaga wanatoka sehemu ambazo hata hawajawahi kuuona msikiti lakini wakifika mjini wanabadilika gafla hawawezi kumkwaza muislam kwa kumsalimia Bwana asifiwe?
 
Walibaguliwa au walikomaa na Madrasa. Acha kumsingizia Nyerere wewe. Mlipewa fursa ya kusoma mkaendeleza uswahili na kupiga ngoma. Hata leo Shule zenu hazieleweki mpo mpo tu.
 
kwani umelazimishwa kama nini anzisha timu yako
 
Wachaga wanatoka wapi ambako hakuna misikiti.

Simba na Yanga zina mizizi ya kiislamu , Kama unakwazika shabikia Team zingine .
 
Walibaguliwa au walikomaa na Madrasa. Acha kumsingizia Nyerere wewe. Mlipewa fursa ya kusoma mkaendeleza uswahili na kupiga ngoma. Hata leo Shule zenu hazieleweki mpo mpo tu.
Sasa hiyo elimu ili wasaidia nn zaidi ya kuwafanya muishi kwa hisani ya kuwa machawa wa ccm?
 
Wachaga wanatoka wapi ambako hakuna misikiti.

Simba na Yanga zina mizizi ya kiislamu , Kama unakwazika shabikia Team zingine .
Basi kama umethibitisha ni timu za kiislam wachezaji wawe wanacheza kwa kanzu makobazi na vipedo ijulikane wazi kuwa ni Moja wapo ya taasisi za kueneza dini ya kiislam
 
Sasa hiyo elimu ili wasaidia nn zaidi ya kuwafanya muishi kwa hisani ya kuwa machawa wa ccm?
Sasa kama haikutusaidia nini kinachowafanya kutwa mpige kelele. Nyie watoto Waislam hamtumiagi akili kabisa mmekaa kukalilishwa ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…