Viongozi wa Yanga na Salamu za Dini moja

Huyu jamaa ni wahovyo sana, amekaririshwa kuwa dini yake ni ya haki hajawahi kuangalia upande wapili wa shilingi.
 
Wachaga wanatoka wapi ambako hakuna misikiti.

Simba na Yanga zina mizizi ya kiislamu , Kama unakwazika shabikia Team zingine .
Nenda uru kishumundu ukaongee habari za misikiti kama watakuelewa ni kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…