Viongozi wa Yanga nawapa pongezi kwa kufanya mambo kimyakimya bila kuwajibu wanaowazodoa

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Sisi ndiyo Yanga SC AKA

Manyani na Mammbwa SC
Sindano dawa za kuongeza nguvu SC
Jini Maimuna SC
Hamisa Mobeto Buzi la Aziz Ki SC
Mihadarati SC
Wavuta Shisha SC
Nyuki Asali SC
Mpumelelo pumuuuuu SC
Wachawi SC
Watembea uchi usiku kwenye viwanja SC
Wacheza Vigodoro SC.
Wagombaniwa na maraya SC
Kimoko cha chamazi SC
Wakimbizi kwenye viwanja vya watu SC
CCTV CAMERA SC
Uto de Supu la Ngo'mbe SC
 
Narudiaa kusema tena,Makolo vipigo mfululizo vikianzaa msije na habari za hatumtaki Mangungu..
Wavuta shisha na wagombaniwa na maraya hamjui mpira ndio mje mtusumbue sisi..
Kwwnza embu tamka kwa adabu na heshima nani anaongoza ligi kmmmke..tamka kwa sauti kuu..manina
 
Viongozi wa yanga wamejibu kwa mihemko hadharani kuhama uwanja kisa kufungwa goli 4 ndani ya wiki ni majibu tosha timu inaongozwa na waganga!
 
Anayefahamika kwa ulozi Africa nzima ni Simba aliyechoma uwanja wa watu mchana kweupe, kujidunga mmeingia kwenye mfumo wa wajinga wenzenu na propaganda uchwara, mtu ajidunge alafu aaache ushahidi hapo hapo uyo ni kichaa?
Yaani wajinga sana.
 
Viongozi wa yanga wamejibu kwa mihemko hadharani kuhama uwanja kisa kufungwa goli 4 ndani ya wiki ni majibu tosha timu inaongozwa na waganga!
Usichokijua ni Bora ukanyamaza kimya, ni nani aliyekwambia yanga wamehama uwanja sababu ya kufungwa? Mnatunga vitu vyenu vya kusadikika mnafanya kuwa ajenda!
 
Usichokijua ni Bora ukanyamaza kimya, ni nani aliyekwambia yanga wamehama uwanja sababu ya kufungwa? Mnatunga vitu vyenu vya kusadikika mnafanya kuwa ajenda!
Wewe unajibu kama nani ikiwa sio kiongozi wala msemaji!
 
Endeleni kujipa moyo,yupo mjiandae round ya pili kukutana nae. Hii hali ya mpito na hatujaitana mara tatu kwenye social networks.

Nyie timu ikipata matokeo mabovu, viongozi wanajitoa na kuwapa lawama wachezaji, baada ya hapo timu anaachiwa Ahmed Ally azunguke nayo, viongozi hawataki hata mahojiano,tulowaona msimj uliopita hata msimu huu, wazee wa kuitana mara tatu.
 
Huu msimu kama unadhani itakuwa kama misimu mingine you are lying to yourself.
 
kwa hiyo wenetu tunakubaliana kwamba tayari mmeshajipata sio? Baadaye msije anza sema bado timu haijaunganika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yanga kupoteza mechi mbili Tayari mmeshajiona wakubwa na hiyo tofauti ya alama 1 hapo! Mshajikuta mnacheza Club bingwa kumbe shirikisho! Haya zisijeanza lawama GSM anaharibu Ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…