Viongozi wa Yanga nawapa pongezi kwa kufanya mambo kimyakimya bila kuwajibu wanaowazodoa

Fact.
 
We hujasikia kwenye kikao Kuna mtu ilikuwa bado kidogo atolewe meno😃
 
Ni kweli Simba bado haijawa na muunganiko, Ila kinachotufurahisha ni yanga kupigwa na wauza lambalamba na watengeneza asali, yanga ilifungwa na binadamu siyo malaika😂😂
 
Currently naongoza ligi

Currently nakuzidi magoli 7

Currently nimepoteza mechi chache kuliko timu zote

Acha maneno,acha porojo shinda tuone usichimbe mikwara.
 
😀Currently naongoza ligi

Currently nakuzidi magoli 7

Currently nimepoteza mechi chache kuliko timu zote

Acha maneno,acha porojo shinda tuone usichimbe mikwara.
kwa hiyo mshajikuta Yanga 😀 kwamba mshajiona mnashiriki club bingwa sio shirikisho 😀 Yanga kakupiga nje ndani mfululizo, coastal union tu kakutoa jasho, bado timu haiwezi kucheza mechi 5 mfululizo na kushinda, bado unaongea! Hizo 'Currently' Yanga ishafanya sana. Hata Azam walishaongoza Ligi 😀
 
A
Currently naongoza ligi

Currently nakuzidi magoli 7

Currently nimepoteza mechi chache kuliko timu zote

Acha maneno,acha porojo shinda tuone usichimbe mikwara.
Ata singida black star ashaongoza ligi kwaiyo habari za kuongoza ligi kwa muda Wala hazina mashiko, subilia mwisho wa msimu ndio tutajua mbivu na mbichi!
 
Ngoja Gamond aje kumwaga upupu jinsi ushindi wa mazabe ulivyokuwa unapatikana.
 
A

Ata singida black star ashaongoza ligi kwaiyo habari za kuongoza ligi kwa muda Wala hazina mashiko, subilia mwisho wa msimu ndio tutajua mbivu na mbichi!
Singida kawa bingwa mara ngapi?

Acha mikwara,acha kuimba taarabu, acha porojo.

Na mmeshamla kichwa kocha huko kwahiyo mnaanza upya mpk kocha aijue timu na aizoee ligi mmeshajinyea.
 
Umeongea vyema, ila ukimwa na vitendo uendane na matokeo. Kuna wachezaji wanahitaji wahakikishe wamebadilika au wawapige chini, katika wachezaji hao Aziz K ni mmoja wao. Pumbavu zake kabisa
Azurule uwanjano Azizi Ki kufukuzwa afukuzwe Gamond
 
Singida kawa bingwa mara ngapi?

Acha mikwara,acha kuimba taarabu, acha porojo.

Na mmeshamla kichwa kocha huko kwahiyo mnaanza upya mpk kocha aijue timu na aizoee ligi mmeshajinyea.
Usidhani yanga ni ndanda united kwamba kocha mpaka aijue timu, kwanza kocha mpaka anakuja kufanya kazi tiyali keshaifatilia na kujua timu inachezaje, inao wachezaji Gani,,na kocha awezi kuja hapo hapo akaingiza mbinu zake uyo anakuwa sio kocha, ataendeleza mwenzake alipoishia na ataingiza mbinu zake taratibu wakati huo timu inaendelea na rhythim yake Ile Ile,kwaiyo usijidanganye kwamba yanga itaanza upya ayo ni mawazo yako binafsi!
 
Hata huyo kocha anayekuja mtamfukuza tu kama gamondi.
 
Hata huyo kocha anayekuja mtamfukuza tu kama gamondi.
Kama mlivyomfukuza benchikha na Robertinho, kwani Kuna ubaya,,timu inayoongoza kufukuza makocha ni ipi hapa Tanzania ebu sema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…