Viongozi wa Yanga ni furahisha genge, mpira ni Sayansi na siyo taralila nyingi

Viongozi wa Yanga ni furahisha genge, mpira ni Sayansi na siyo taralila nyingi

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Huo ndiwo ukweli.

Ukiwasikiliza hasa Idara ya Ali Kamwe, kutwa kujigamba na wazi unaona ni watu wanao penda sifa za kijinga na zisizo dhahili.

Mpira wa miguu siyo rede ama kwaya, bali ni Sayansi iliyo bayana. Huwezi ukafanikiwa kufaulu mtihani wa Sayansi ya football kwa mbwembwe na mapambio ya kijinga.

Usera mavi wa akina Kamwe na Privaldinho ndiyo unao wafanya hata wachezaji wa Yanga wajihisi wao ni wachezaji wa daraja A hapa Afrika ilihali ni chekechea tupu.

Ukweli utabaki wazi kwamba ni Simba pekee angalau inauwezo wa kusolve Sayansi ya mpira wa Afrika kwa hapa Tanzania japokuwa kwa kiasi fulani.

Haya, tumerejea kwenye ndondo sasa.
 
Asubuhi hii kafanye kazi ujiletee maendeleo kijana,
Yanga na Simba zitakusaidia nini?
 
Side anasema ligi ya Ndani mbovu. Ushindi kwa Yanga WA nje ya uwanja unaendelea kuwacost. Rejea kauli ya Hersi kwa Chama ' Njoo Yanga upunzike'. Na amepunzika kweli. Akiwa Simba haya mashindano ya CAF yalimng'arisha Sana CCC.
 
Back
Top Bottom