Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Umeandika kitu cha maana sana...mpaka wa Drc na nchi za Rwanda na Uganda ufungwe, na kati yao kuwe na demilitarized zone.
Nyerere, wakimbizi wa sehemu hizo waliwekwa Kambi ya Mishamo, na wengine Katumba. Walivyo pewa uraia wamejikuta wapo Rukwa wengine Tabora n.k na kuna wakati alitaka kuwa peleka Mtwara, maana wakikaa hapo mpakani , Mchana wanakuwa wakimbizi wanakuja Bongo , jioni Wana rudi nchini mwao kama wapiganaji.Hoja muafaka kabisa. Banyamulenge waondolewe mpakani mwa Rwanda wapelekwe sehemu nyingine ndani ya Congo
Binafsi naona suluhisho la hii vita ni
1. DRC akubali kukaa na waasi mega moja. Waasi woote maana kuna zaidi ya vikundi 100 vya waasi ...Hawa m23 ni most popular tu. Hii itasaidia kujua panapovuja. Kagame atakosa support.
2. DRC ikubali kuwapinga FDLR....watangaze kuwafukuza nchini kwao...Kagame atakosa sababu ya kwenda Congo.
3. Congo ijenge ukuta kuzizunguka Rwanda na Uganda....na kiwekwe kikosi katikati ya Rwanda na Congo
Rwanda ni jeuri....ana ego...kumbukeni pia Rwanda na Uganda ndiyo Marais Senior EAC na SADC wanajua mbinu zote....na kutakuwa na ile dharau ya hawa wanajua nini.....
Tshekedi humble yourself to save your country. Ongea na hao waCongomani ujue wanahitaji nini? La sivyo utaendelea kumpa upenyo Rwanda wa kutumia huo mwanya kukupiga.
Binafsi.
Viongozi wameshindwa kufanya zoom meeting!Tusiweke matumaini makubwa kuhusu summit meeting ya kesho.
Jambo moja tunaweza kuridhika ni kwamba kwa kusikiliza ripoti nyingi tunaweza kuona kwamba wapo viongozi wa Jeshi la Kongo ambao sio waaminifu kwa nchi yao.
Tutapata suluhu labda katika huu mgogoro lakini siyo katika Mkutano wa kesho.
Wanajadiliana hawa wataalamu experts in so- called International Relations.
Ndio hao hao experts waliotuletea Ukrainian War na Syrian War na Gaza War.
Nashindwa kuelewa.
Kama Banyamulenge ni raia wa North Kivu kwa nini watake kuiteka Kongo yote?
Hii ni attempt to hypnotize the whole country.
Soma Pia: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
Hivyo vikundi vinaibuka tu vyenyewe wala hakuna anayevifadhiri, ni kama ilivyokuwa somalia, vita nayo ni biashara kama biashara nyingine yaani kama ilivyo siasa bila hela/mtaji hautoboi.Namna pekee ni kuwaonyesha wamejumuishwa kwa serikali hata kama nchi ni maskini.
Tusisahau pia Makampuni makubwa na nchi kubwa zimetumia huu mgogoro kama njia ya kujineemesha....vikundi zaidi ya 100 nani anavifadhili? Vyote vinafandhiliwa na Rwanda? Staking kuliamini hili
Banyamulenge walikuwepo toka wakati WA Mabuto, lakini hawakuwa na nguvu kama sasa baada ya Kagame aliye aanzia Updf, na sasa RPF , kuanzisha hivyo vikundi vya M23 na AdFLakini hapo kwenye point no.1.Nadhani ni kudhibiti chanzo cha nguvu ya hivyo vikundi. kuna mtu ambaye yuko nyuma yao anaye finance hizo harakati.huyo ndiyo mhimu kudhibitiwa.Maana hata unajiuliza silaha zinaingiaje nchini DRC.Huyo anaye finance hivyo vikundi ndiyo msemaji mwenyewe.hao wenyewe ukiwauliza hawana cha maana kwenye ufumbuzi.Halafu pia jeshi la DRC limechafuka kwa idadi kubwa ya mamluki.Kwa hiyo taarifa zinavuja mapema
Hao m23 watakuwa wanasikiliza kagame anasema Nini na sio maamuzi ya kikaoBinafsi naona suluhisho la hii vita ni
1. DRC akubali kukaa na waasi mega moja. Waasi woote maana kuna zaidi ya vikundi 100 vya waasi ...Hawa m23 ni most popular tu. Hii itasaidia kujua panapovuja. Kagame atakosa support.
2. DRC ikubali kuwapinga FDLR....watangaze kuwafukuza nchini kwao...Kagame atakosa sababu ya kwenda Congo.
3. Congo ijenge ukuta kuzizunguka Rwanda na Uganda....na kiwekwe kikosi katikati ya Rwanda na Congo
Rwanda ni jeuri....ana ego...kumbukeni pia Rwanda na Uganda ndiyo Marais Senior EAC na SADC wanajua mbinu zote....na kutakuwa na ile dharau ya hawa wanajua nini.....
Tshekedi humble yourself to save your country. Ongea na hao waCongomani ujue wanahitaji nini? La sivyo utaendelea kumpa upenyo Rwanda wa kutumia huo mwanya kukupiga.
Binafsi.
Mipaka hiyo ulioitaja haina matatizo na DRC kwasababu haiwabagui makabila yanayoishi mipakani kuwa sio raia wa nchi zao!..DRC hawajapewa nafasi ya kuongoza na kujenga nchi yao.
..pia ujiulize mbona mipaka ya Drc na nchi kama South Sudan, Zambia, Angola, na Tanzania, haina matatizo?
DRC iwatambue makabila ya mpakani kuwa ni sehemu ya Congo ; baada ya hapo waimalishe serikali zao za majimbo basi!Congo igawanywe tu iweze kutawalika vizuri
Seriously niorodheshe vikundi Mia moja.....hao wanaoitwa Mai Mai wenyewe wanamgawanyiko wa makundi.Unaweza kuvi orodhesha hivyo vikundi. Na kwanini ADF iwe Congo na sio Uganda , na kupewa Jina la waislamu WA itikadi Kali , pili kwa nini Rwanda itumie kisingizio cha FDRL , wakati wao wenyewe asili Yao ilikuwa kutoka updf. Na zaidi ya hapo wao RPF ni zao la kutotekeleza mkataba wa Amani wa Arusha. Ambao. Ungewawezesha kuishi kwa pamoja na hao FDRL. Na sasa hao RPF wamepata Madaraka , wamewafungia vioo wa Hutu Ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda . Na kutumia kisingizio hicho kuingia DRC Kwa kisingizio cha FDRL na hao Banyamulenge . Kwa hiyo Nia Yao ni kuwamaliza "wahutu" kadiri inavyowezekana , na kujiimarisha zaidi Kwa kuwa tumia Banyamulenge na kuchukua Ardhi ya Kongo Kivu ya kaskazini na baadae kuiingia Burundi na kuwa maliza au kuwa punguza Wahutu Burundi. Ndio wajichukulie Kivu ya kusini.
Ikibidi Sana hao Banyamulenge wahamishwe upande wa pili wa mpaka na wasi kae mpakani na Rwanda au Burundi. Na idaddi Yao hihesabiwe na vizazi vyao vianze kuwa vinaandikishwa huko.
Issue ni kuwa west backers hawataki influence ya China kwenye rasilimali za Kongo period.Tshisekedi hakulijua hilo mapema.Hakuna cha banyamulenge sijui issue ya tutsis n hutus walaaa.Issue ni cobalt and other vital minerals available in eastern Congo.Hii ni vita ya superpowers na wanaoumia na watakaoendelea kuumia ni Congolese.Mkutano wa leo ni kujaribu kumlainisha Tshisekedi abadili upande chap kama anataka at least Kivu ipoe lakini kuhusu issue na mipango yake ya kujaribu kuleta umilki wa rasilimali za nchi kwa Serikali ya Kongo hilo asahau.Wote hao wanasiasa watakaokutana nae leo wao walishakubali big corporations za magharibi zichote rasilimali za nchi zao vyovyote zitakavyo.Tshisekedi hawez kuwazuia m23(backing by Rwanda backing by the west) hata kama nchi zooote za SADC na EA zitapeleka majeshi yao yoooote huko KIVU hawatafua dafu.Ni ukweli mchungu lakini ndio UKWELI HUOTusiweke matumaini makubwa kuhusu summit meeting ya kesho.
Jambo moja tunaweza kuridhika ni kwamba kwa kusikiliza ripoti nyingi tunaweza kuona kwamba wapo viongozi wa Jeshi la Kongo ambao sio waaminifu kwa nchi yao.
Tutapata suluhu labda katika huu mgogoro lakini siyo katika Mkutano wa kesho.
Wanajadiliana hawa wataalamu experts in so- called International Relations.
Ndio hao hao experts waliotuletea Ukrainian War na Syrian War na Gaza War.
Nashindwa kuelewa.
Kama Banyamulenge ni raia wa North Kivu kwa nini watake kuiteka Kongo yote?
Hii ni attempt to hypnotize the whole country.
Soma Pia: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
Sidhani kama suala ni Congo yenyewe.....Kipindi cha Mobutu Congo haikuwa na amani 100 lakini haikuwa hivi. Suala lilianza pale ilipopokea wakimbizi wa Kimbari.Congo igawanywe tu iweze kutawalika vizuri
Lakini hatuvisiki kubugudhi wananchi, zaidi ya hivi viwili vya nji jirani, na ndio maana haya matatizo tunaona ni ya kupikwaSeriously niorodheshe vikundi Mia moja.....hao wanaoitwa Mai Mai wenyewe wanamgawanyiko wa makundi.
Angalia baadhi hapa chini. DRC ukiamka ukataka kuanzisha kakindi chako unaanzisha tu.
Vina bughudhi sema haupati habari....Lakini hatuvisiki kubugudhi wananchi, zaidi ya hivi viwili vya nji jirani, na ndio maana haya matatizo tunaona ni ya kupikwa
Unajua kuna bughuza zingine ni sawa na nzi katua kwenye Mwili wakoVina bughudhi sema haupati habari....