Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho.
Mbowe ana maono makubwa na Chama ila kufungwa kwake kumesababisha amekuta ungozi wa juu wa Chama umetekwa na wanaharakati wasiokuwa na ajenda.
Ajenda za Chama haziwezi kujadiliwa toka ubelgiji wakati kuna masuala ya muhimu ambayo watanzania wanayahitaji muda huu. Kutaka katiba mpya bila kufafanua road map nayo ni uhuni wa kisiasa wa kupoteza muda.
Bila kuja na mikakati na mbinu CCM itatawala milele. Mwalimu nyerere aliacha ameunganisha mifumo na moyo wa taifa na CCM.
Nawapongeza ACT ambao walau wanajua dude wanalopambana nao kwa kuja na hoja za sera mbadala kwa kila changamoto iliyopo nchini.
Kundi la wasomi litahamia huko kama ilivyokuwa kwa nccr wakati mfumo wa vyama vingi unaanza. Kama twende space na club house.