Kama kawaida yako badala ya kujadili ajenda za chama dola chenu unataka tujadili CHADEMA. Haya tumekusikia kakojoe ulale maana huo upuuzi wako tumeusikia na sikio moja na umetoka kwenye sikio la pili.Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho...
Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho...
MwanaCCM hutaki CCM itawale milele? Unaanza kuuza ramani ya vita?
Haya peleke screenshot ukachukue posho yako dirishani kwenye ofisi ya Shaka.Lisu: nikiwa rais ushoga ruksa
shoga= rafiki hasa kwa wanawake, pia hakuna sheria inayokataza ushoga kwaiyo na wewe unaweza kujiunga tu maana yake inaonekana una nyeg.e za mku.duOngezea na kuruhusu ushoga Tanzania
Siku hizi umeishiwa hoja mkuu!Mlidhani mkimuachia Mbowe watu wangenyamaza kudai katiba. Ndio kwaaaaanza kumekucha
Teh teh teh ila kwenye uchaguzi mkuu alikuja na akazunguka mikoa yote ya hii nchi.. Vipi wakati huo hakuwa na hofu? Tena ukizingatia yule mbaya wake alikuwepoKwani agenda zikijadiliwa kutoka ubelgiji ndio tatizo?
Aliyepo ubelgiji alikwenda kwa kupenda?
Mbona alizaliwa na kukulia Tanzania na hiyo ubelgiji unayoisema ndio kwanza ana miaka 5 yuko huko.
Lissu anatoa hoja zake na kinachotakiwa ni hoja zijibiwe kwa hoja.
Kwa mtu asiyejua atabaki kuamini kuwa Lissu ni mjinga eti baada ya yule dikteta kufa mbona harejei Tanzania?
Kumbuka sio wote waliokuwa wakipendezwa na madhila waliyofanyiwa watu awamu ile japo walikua kwenye circle ile ya maovu , hao watu wema ndio walimbrief Lissu kuhusu kuwa targeted na alitamka wazi kuwa anafuatiliwa je kuna hatua ilichukuliwa?
Leo hii ni mwaka wa 5 hakuna hata suspect mmoja amekamtwa unatarajia nini hapo huhitaji akili za Albert Einstein kujua ni wapi walikua na bado wanaendelea kumuwinda?
Bandiko langu limejieleza kwa situation ya uchaguzi na kurejea kwake attention kubwa ilikuwepo toka dunia nzima hata waovu wangemdhuru sasa ndio ingekua very open.Teh teh teh ila kwenye uchaguzi mkuu alikuja na akazunguka mikoa yote ya hii nchi.. Vipi wakati huo hakuwa na hofu? Tena ukizingatia yule mbaya wake alikuwepo
Tulia dawa ikuingie mkuuSiku hizi umeishiwa hoja mkuu!