Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini. Wananchi sasa hivi wanajua aya maigizo na ukweli sasa waliopora madaraka kwa kupitia vyombo vya dola wako na kujisimika kwenye uongozi bila kuchaguliwa wanafikiri kwamba watanzania hawajui ili wanalijua vizuri sana Sasa baada wafanye kazi wao wanaendelea na maigizo wakati miradi mikubwa yote imesimama
Jomo Kenyatta aliwahi kunukuliwa akisema Watanganyika ni kama tumekufa, waliolala ni waganda... Sasa hizo habari za kusema Watz tumeamka, inamaana huyo kiongozi alidanganya?