Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

Mwigulu jamani Mungu atuepushe na huyu kiumbe. Ni sawa uishi na black mamba 100 ndani ya nyumba
 
Hii nchi inafaa kupatikane Rais mwanasheria kwanza inyooke kuna mashimo makubwa sana kwenye katiba iliopo dunia inabadilika kila uchwao hivyo sheria nazo zinatakiwa kubadilishwa
 
Mimi je? Nafaa au sifai? Kama ninafaa basi naomba uniongeze kwenye list yako tafadhali
 
Eeh tubebane wana JF tuunde chama letu tukamate dolla haiwezekani mrundi atuzidi akili bana Kagame nchi anaiendesha vyedi japo majungu hayaishi ila mambo yanayofanyika yanaonekana
Hakika kabisa mkuu.

Wakati mwingine nasemaga hii nchi ningeiongoza mimi wezi wangesaga meno na kuniua wangeniulia mbali ila mwisho wa siku nchi ingekuwa patamu.
 
Wanaopinga, Basi watuletee majina mbadala
 
Pale ccm labda mtaka tu kidogo ingawa na yeye bado ana mambo mengi ya kurekebisha
 
Hakuna mgombea ambaye hana mapungufu Labda ulete malaika.
JK pamoja na kuiharibu nchi tulimchagua awamu mbili.
 
Mpuuzi kama huyu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi achilia mbali kuingia Ikulu.
Hiyo pombe aliyo kuwa amekunywa Mr Polepole ikiletwa sokono watu wataigombea hadi kutoana roho.
 
Excellent
 
Consider kila raia anaujua mshedede wa amiri jeshi mkuu
Na hiyo inaipa uhalisia ile kauli ya kuwa raisi ni mali ya watu ikiwemo maungo yake🤣🤣.
Unaweza staajabu ikakuza utalii kupitia sextape ya Mheshimiwa.
 
Pumbavu kabisa
 
Bila sabaya na makonda hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…