Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

Kwanza kabla ya kuleta hayo makorokocho yako hebu tuambie ule wimbo wenu wa "mitano tena" mbona sijausikia tena awamu hii? Au watunzi wa huu wimbo hawapo tena Bungeni?
 
mimi ni mkatoliki na naomba uthibitishe sehemu ambayo gwajima alidhihaki au kutukana wakatoliki
 
Hahahaaaa, unaogopa kuitwa gaidi?
 
Hao hata wakishindanishwa na kivuli,kivuli kitashinda
Nalog off
 
Au wewe ndiyo Humphery Pole pole mwenyewe?
 
Mkuu naona hujaelewa,
Polepole hakuna mahali ameipinga serikali(labda utuonyeshe wewe)

Gwajima ametoa mtazamo wake na kuikosoa serikali(siyo kuipinga),kuikosoa serikali siyo kosa kwani hata serikali nayo imeonyesha kutokuwa na uhakika na jambo lenyewe ambalo linagusa afya za watu

Halafu naomba utuelezee raisi anaandaliwaje ili tujiridhishe kuwa hao nilowataja kweli hawastahili.
 
Au wewe ndiyo Humphery Pole pole mwenyewe?
Mkuu mimi ninaitwa MTIMAWACHI,hili ni jina langu halisi ila sijaweka surname,hao niliowataja sina nasaba nao zaidi ya kuwa watanzania wenzangu
 
Utampigia Kira polepole? Au gwajiboy?

kuwa rais wako?
 
Ku
mimi ni mkatoliki na naomba uthibitishe sehemu ambayo gwajima alidhihaki au kutukana wakatoliki
Kuna video ilitrend sana mitandaoni wakati anapigia chapuo jimbo

ndio maana hata wabunge waiongelea namna waivyoteseka kumsafisha

it is out in public

Bahati mbaya I can’t publish here
 
Utampigia Kira polepole? Au gwajiboy?

kuwa rais wako?
Kura ni tendo la siri,ila kama watapewa ridhaa na chama hakika hawa watu watavuna kura nyingi ikiwemo ya kwangu
 
japo nawe pia umeyumba katika hii list yako lakini kiukweli upinzani wajitafakari sana uraisi sio lelemama watengeneze watu wenye hadhi ya uraisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na siku ikitokea hicho KILIO,basi wa kulaumiwa ni nyinyi wapinzani kwa kushindwa kwenu kuandaa watu makini kwa zaidi ya miongo miwili.
Mnazidi kudumaa siku hadi siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…