Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

MBONA YULE NABII MWENYE HUWA ANAFUFUA MISUKULE YA KIFIPA KWENYE MAKABURI YA KINONDONI HAJAWEKWA???
 
Kwa hiyo wenye IQ kubwa ni wazungu tu?
Futa matokeo kisha anza upya.
 
African leaders hata interview hawakufanyiwa
 
Hiyo orodha ya wamarekani ya dunia haipo hivyo kwani Afrika viongozi waliodai Uhuru na kuweza kuelezea sababu lukuki ikiwemo kuwashawishi waafrika wenzao hawana IQ kubwa?
 
Hawa wamependelea hata mmoja hakuna Afrika, hatari.
Afrika kwa lipi ndugu yangu kama karne hii bado tunateseka namagonjwa yatokanayo na uchafu.Uku afrika tumepewa nguvu nyingi akili kidogo.Tungewai kupata viongoz wenye uwezo mzur wakufikiri naamin bara hili kwa maendeleo hakika tungekua mbali maana tuna kila kitu.kwaiyo tuwe wakweli badala yakujifariji.
 
Yaani hakuna putin ambaye ameirudisha collapsed russia, hakuna Lenin, hakuna Castro ambaye amehepa assasinatio atrempts zaidi ya 600, hakuna Mao wa china aliyejenga china imara, Hakuna nyerere, hii ni nonesense.
Mkuu hata mimi sijajua wametumia vigezo gani nimeamua kushare ili tujenge hoja mwanana[emoji41]
 
Aaaaahhh.Mkuu hapo ni sawa nakusema uko kwenu kuna mtu anacheza mpira kuliko messi ila bado hajaonekana.
 
Do you believr your post?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…