Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

Mkuu IQ ni ile hali ya kupambanua mambo kwa uharaka na kutoa majawabu yaliyo sahihi. Wanapo pima IQ wanaangalia mambo mengi ila kubwa sana ni uwezo wa kufikiri. Zipo IQ test ambazo huwa na maswali mchanganyiko.
Kwa maelezo yako kaka,hakika isiyokuwa na shaka IQ ni nyenzo yenye kukufanya mtu ujue ana kiwango gani cha akili.Kwanini nasema hivyo ?

Lazima ujue ni nini maana ya akili na kipi kipimo sahihi cha akili.Nilichoking'amua mimi katika IQ ni uwezo wa kufanya jambo fulani ila sio akili.Katika hili mifano iko mingi sana.Nitakupa mifano pakiwa na haja ya kutoa mifano.

Ila hao jamaa waliotoa hiyo orodha ingekuwa vyema wangetupa na vitu vilivyowapelekea kuwaweka watu hao katika orodha hiyo ili na sisi tuwape vipimo vyetu tena sio vipimo tu bali vipimo haswaa.

Nakupa ziada ya maneno kuhusu akili.Akili ziko zilizo salama na zilizo fisidika.Kwa vipimo vyetu sisi hao wote waliotajwa katika orodha hiyo akili zao zimefisidika,sasa sijui walikusudia nini kuhusu akili au huwa wanamaanisha nini wanaposema mtu fulani ana akili nyingi au hao wana akili nyingi.
 
Umechagua kutoiona qualification niliyoiweka ya kwamba "hata kama ukiikubali IQ, 100 ni ya kawaida sana"

Nishawahi kufanya mitihani ya IQ na kupata zaidi ya 100 nikiwa shule ya msingi, ndiyo maana nasema hiyo score ya 100 ni ya kawaida sana.
Kaka wewe una msimamo gani kuhusu IQ ? Kwangu mimi ni upuuzi.
 
Kaka wewe una msimamo gani kuhusu IQ ? Kwangu mimi ni upuuzi.
IQ ni upuuzi. Ukikaa na wasomi wa saikolojia watakwambia.

Ukisoma kitabu kilichoshinda tuzo ya Pulitzer cha Jared Diamond kinachoitwa "Guns Gems and Steel: The Fate of Human Societies" utaona kaongelea sana hili.

Tatizo wangapi kati yetu tunasoma hivi vitu?

Nani kasoma "Guns, Germs and Steel" hapa?
 
Tunaomba na list ya viongozi wenye IQ za chini
Kabisa katika bara la Africa
Hahaaa, mkuu wewe naona unataka watu walete uchochezi. Kama tu atakayesimamia zoezi hilo siyo jecha, likawa la haki kabisa nakuhakikishia hawa wawili lazima wawepo; Yule wa mara sadam, libya, kuwait, yemen, sirya nk, na yule aliyesema kuwa baada ya kufanya ngono na kimada alinawa ili kuzuia ukimwi! Haki ya nani hili bara lina laana, usiombe.
 
IQ ni upuuzi. Ukikaa na wasomi wa saikolojia watakwambia.

Ukisoma kitabu kilichoshinda tuzo ya Pulitzer cha Jared Diamond kinachoitwa "Guns Gems and Steel: The Fate of Human Societies" utaona kaongelea sana hili.

Tatizo wangapi kati yetu tunasoma hivi vitu?

Nani kasoma "Guns, Germs and Steel" hapa?
Nakupa na hii pia,katika elimu ambazo haifai mja kujifunza ni falasafa,falaki,saikoloji,uchawi na mfano wake...
 
Hamna kitu hapo..... yaani kizazi cha netanyahu kizidi iq vizazi vya way bak... xi kweli..

Iq 30 ya mwaka 1900 ni sawa na iq 100 za kipindi hiki.....

Iq za kina aristole ushaziona these days...

Afu eti marekan tu ndio wawe weengi wenye iq nzuuri . .

Ukicopy uchambue before haujapest....

Wamepambanua nin hao watu unachokijua weewe...
Nchi ya israel hadi leo migogoro haiish.... iq ya waziri inakaz gani.
 
Ukoloni wa Mzungu yaani unataka kutuaminisha kuwa Africa ni vilaza au hatujikubali
 
Hamna kitu hapo..... yaani kizazi cha netanyahu kizidi iq vizazi vya way bak... xi kweli..

Iq 30 ya mwaka 1900 ni sawa na iq 100 za kipindi hiki.....

Iq za kina aristole ushaziona these days...

Afu eti marekan tu ndio wawe weengi wenye iq nzuuri . .

Ukicopy uchambue before haujapest....

Wamepambanua nin hao watu unachokijua weewe...
Nchi ya israel hadi leo migogoro haiish.... iq ya waziri inakaz gani.
Kuandika sio kazi tupe na IQ yako kwanza maana tunajuna wabongo ndio maana hatupo na wewe haupo
 
Mimi sidhani kama inawezekana ku quantify IQ ya mtu kwa usahihi.

Na ndo maana mpaka leo hilo suala la IQ bado ni la utata utata tu.
Mkuu halina utata kwangu labda kwako kama vipi nakupa uzi unaodadavua kundani
 
Martin Luther King Fidel Castro Muamar Gaddaf Hawapo Unalazimisha Niamini Huo Uwongo Wako.
 
Juzi nimepima yangu inaelekea kufikia 671.9[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi nimejisikia furaha na amani kuona Obama sio miongoni mwao.

Jitu lenye kutetea ushoga, hata kunyima misaada ya kiutu siwezi kulikubali Mimi.
 
Back
Top Bottom