Kauli yako sijaielewa kabisa kaka ? Naomba ufafanuzi kidogo na ukinipa mifano itakuwa bora zaidi.Waarabu hawana IQ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli yako sijaielewa kabisa kaka ? Naomba ufafanuzi kidogo na ukinipa mifano itakuwa bora zaidi.Waarabu hawana IQ
Kwa maelezo yako kaka,hakika isiyokuwa na shaka IQ ni nyenzo yenye kukufanya mtu ujue ana kiwango gani cha akili.Kwanini nasema hivyo ?Mkuu IQ ni ile hali ya kupambanua mambo kwa uharaka na kutoa majawabu yaliyo sahihi. Wanapo pima IQ wanaangalia mambo mengi ila kubwa sana ni uwezo wa kufikiri. Zipo IQ test ambazo huwa na maswali mchanganyiko.
Kaka wewe una msimamo gani kuhusu IQ ? Kwangu mimi ni upuuzi.Umechagua kutoiona qualification niliyoiweka ya kwamba "hata kama ukiikubali IQ, 100 ni ya kawaida sana"
Nishawahi kufanya mitihani ya IQ na kupata zaidi ya 100 nikiwa shule ya msingi, ndiyo maana nasema hiyo score ya 100 ni ya kawaida sana.
Huu ni uchocheziTunaomba na list ya viongozi wenye IQ za chini
Kabisa katika bara la Africa
IQ ni upuuzi. Ukikaa na wasomi wa saikolojia watakwambia.Kaka wewe una msimamo gani kuhusu IQ ? Kwangu mimi ni upuuzi.
Hahaaa, mkuu wewe naona unataka watu walete uchochezi. Kama tu atakayesimamia zoezi hilo siyo jecha, likawa la haki kabisa nakuhakikishia hawa wawili lazima wawepo; Yule wa mara sadam, libya, kuwait, yemen, sirya nk, na yule aliyesema kuwa baada ya kufanya ngono na kimada alinawa ili kuzuia ukimwi! Haki ya nani hili bara lina laana, usiombe.Tunaomba na list ya viongozi wenye IQ za chini
Kabisa katika bara la Africa
Nakupa na hii pia,katika elimu ambazo haifai mja kujifunza ni falasafa,falaki,saikoloji,uchawi na mfano wake...IQ ni upuuzi. Ukikaa na wasomi wa saikolojia watakwambia.
Ukisoma kitabu kilichoshinda tuzo ya Pulitzer cha Jared Diamond kinachoitwa "Guns Gems and Steel: The Fate of Human Societies" utaona kaongelea sana hili.
Tatizo wangapi kati yetu tunasoma hivi vitu?
Nani kasoma "Guns, Germs and Steel" hapa?
Bara la giza IQ zenu 1000 kuwaza ngono bata na kuibáWalipimwa saa ngapi na lini! Mbona kwingine hawajafika kupima!
Kuandika sio kazi tupe na IQ yako kwanza maana tunajuna wabongo ndio maana hatupo na wewe haupoHamna kitu hapo..... yaani kizazi cha netanyahu kizidi iq vizazi vya way bak... xi kweli..
Iq 30 ya mwaka 1900 ni sawa na iq 100 za kipindi hiki.....
Iq za kina aristole ushaziona these days...
Afu eti marekan tu ndio wawe weengi wenye iq nzuuri . .
Ukicopy uchambue before haujapest....
Wamepambanua nin hao watu unachokijua weewe...
Nchi ya israel hadi leo migogoro haiish.... iq ya waziri inakaz gani.
Mkuu halina utata kwangu labda kwako kama vipi nakupa uzi unaodadavua kundaniMimi sidhani kama inawezekana ku quantify IQ ya mtu kwa usahihi.
Na ndo maana mpaka leo hilo suala la IQ bado ni la utata utata tu.
Huyu ndo alikua bonge la bashite enzi zile.Nyerere IQ 3500