benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Baadhi ya viongozi vya siasa vya upinzani wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulea vyama vyao na kuleta maridhiano mazuri nchini huku akihakikishia dunia kuwa wanawake Tanzania wanaweza.
Walisema maridhiano hayo yameleta tija katika vyama vyao kwa kuwa na mahusiano mazuri na serikali.
Hayo yameelezwa jana Dar es Salaam wakati wa uhakiki wa vyama vya siasa unaofanywa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini katika Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha CCK.
Katika Ofisi ya CCK, Katibu wa Jumuiya ya Wanawake, Emmy Mwakisole alisema Rais Samia amekuwa mstari wa mbele kuimarisha maridhiano kwa vyama vya siasa nchini, jambo linaloendelea kujengwa na kumari-sha demokrasia nchini.
"Licha ya Rais Samia kulea vyama vyetu na kuleta maridhiano lakini pia amekuwa mstari wa mbele kuwakomboa wanawake kiuchumi," alisema Emmy.
Alisema anamshukuru Rais Samia katika mambo mengi ikiwemo kuwahimiza wanawake nchini kujik-wamua kiuchumi na kusonga mbele bila hofu.
"Kauli yake hiyo ya mara kwa mara imetupa mwamko sisi wanawake wa CCK kupeana elimu ya kujikwamua kiuchumi," alisema.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Fedha kutoka CUF, Zainabu Mndolwa alisema chama chao kimezingatia jinsia hivyo kila panapochaguliwa viongozi lazima nafasi ya mwanamke ipewe kipaumbele. Zainabu alisema uongozi wa Rais
Samia umetoa mwanya kwa wanawake wa kitanzania kuweza kuthaminiwa katika shughuli zao wanazozifanya.
Katika hatua nyingine,
Mkuu wa Kitengo cha Sheria kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo alikisisitiza chama cha CUF kufuata ushauri wa Kitaalamu na kufuata taratibu na sheria zilizopo.
"'Lengo la uhakiki huu tunataka muendelee kufanya vizuri katika chama chenu, chama chenu ni kikubwa hivyo mkifuata taratibu zilizopo mtaendelea kufanya vizuri zaidi," alisema