Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa.

Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
 
Wakati anajiandaa kuingia kipindi Cha pili nilimuambia jamaa yangu ona miguu Ile myembamba.....jamaa yangu akacheka na kuniambia mbona ngoma na chama wana miguu kama yake lakini mpira huuchukui ngoja aingie tumfuatilie eeebana eeeeh 🙌🙌🙌🙌
 
Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa.

Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
Toa kwanza huo mwiko huko nyuma kisha uje tukufundishe jinsi ya kuingia robo faibali bila kutumia calculator, kumhonga Ibenge na kutegemea mechi ya mwisho
 
Hizi mambo za kusajili mchezaji kwa kukuona siku mmecheza naye ndo tunakuja kupata kina Mutale.

Sehemu nzuri ya kupata wachezaji ni CHAN ila naona hata huwa hatuzingatii huko.
 
Afuatiliwe kwanza, mambo ya kusajili kisa game mmoja tena kipindi cha pili, yasije yakawa ya mutale ama yule chikwende.
 
Back
Top Bottom