Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Heshima kitu cha bure. Ukijifanya chizi watu watushughulika na wewe kama ni mtu mwenye kujielewa. Akili zitakaa sawa tu.
Jitahidi kutofautisha kuvumilia ukweli na kutoheshimiwa. Mara nyingi watu wasiomudu kusikia ukweli, hutumia kichaka cha kuvunjiwa heshima ili kuficha ukweli. Kwakuwa una madaraka unaweza kuyatumia vibaya kwa tafsiri yako kuwa umevunjiwa heshima, lakini ukweli hubakia kuwa ukweli. Na tuna uwezo wa kupima ipi ni kuvunjiwa heshima, na upi ni ukweli lakini unapindishwa ili kuleta maana tofauti.