Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Hakika mkuu........ Ukiondoa mihemuko Mnyika ni kiongozi mzuri sana!Ajifunze kuwa na Heshima kwa wakubwa wake...
Akiwa na kauli nzuri pasipo kutumia lugha za matusi na kejeli atafika mbali sana...
Kila la kheri kwenye majukumu yake mapya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia ulimi wako vizuri. Unapomuombea Dua mbaya binadam mwenzio, kama si sitahiki kwake basi ujue Muumba wetu anaigeuza inakuja kwako mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo muda wa malumbano ndio ambao awamu ya tano haina.
Mbona wewe huufichi wa kwako?!Magu alishawaita wapumbavu , wakati mwingine ni vizuri mkaficha upumbavu wenu.
Unaweza kusema aliwahi kukiri udhaifu huo wa gorofani?🤷🏾♀️🤷🏾♀️
Kunyanyaswa wakati mwingine mtu anakutafuta mwenyewe.Sio muda haina, bali ndio huo udictator uchwara. Kuna maendeleo gani ya kushangaza kwenye hili deni la taifa linalopaa mpaka iseme haina muda wa kuheshimu utawala bora? Wangepeleka vyombo anga za mbali si wangeua wananchi wote wasiousujudia? Labda wana ulimbukeni wa maendeleo, basi wanadhani hiyo ni tiketi ya kunyanyasa wasiowasujudia.
Wewe usingekuwa MWOGA ungekuja Jf na jina halisi.
Mwili wa binadamu umeumbwa na uoga.
Yesu alisema...........Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu!
Na Msemakweli ni mpenzi wa Mungu hawezi kuwa dhaifu!
Utapigwa utachakaaKweli kabisa Mkuu.
Ni KICHAA alitakiwa awe wodini muda huu.
circumstatial evidence inamfunga mtu ICC!Hakuna katiba inayovunjwa, ndege zinanuliliwa kwa ridhaa ya bunge reli inajengwa kwa ridhaa ya bunge.
Treni ya Moshi imefufuliwa baada ya miaka 25 kwa pesa iliyoidhinishwa na bunge.
Tulizoea maisha fulani ya kisanii ambayo ni artificial lakini awamu hii tumerudi kwa mstari ulionyooka.
Hizo tuhuma bado hazina ushahidi halisi zaidi ya ule wa kimazingira.
Uoga!Hizi fake I'd zilianza hata kabla awamu hii haijaingia madarakani. Ww hapo ulipo inasaidia ni kipi kinakufanya utumie fake I'd?
Kunyanyaswa wakati mwingine mtu anakutafuta mwenyewe.
Kuna ile tabia ya kugeuza uhuru wa habari kuwa ndio kichaka cha kila kitu.
Mpaka JK kuitwa dhaifu chanzo ni wema wake uliopitiliza. Sasa huyu wa sasa kajifunza kupitia kebehi hiyo ya wema wa JK.
Uoga!
Vyombo vya dola vipo kwa mujibu wa katiba!Kama siyo dhaifu mwambie aweke pembeni vyombo vya dola apande jukwaani apambane nae kwa hoja na sio kwa risasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubenea na Komu!Unaogopa nini wakati ww unasifia tu?
Yule Benson anapenda sana vurugu!Duh, sijui itakuwaje CHADEMA wakiamua ku pursue confrontation approach! Mbowe anasakizia watu kwenye maandaano halafu hatokei! Rejea maandamano ya Arusha na ushuhuda wa Zitto. Mnyika naye hataki vurugu kabisa na CHADEMA wa ndani wanalijua Hilo.
Kwa hiyo hili wahubiri wanalolitenda manaake lazima kuwe na radical change of policy ya chama! Tusubiri, yetu macho!
Duh, sijui itakuwaje CHADEMA wakiamua ku pursue confrontation approach! Mbowe anasakizia watu kwenye maandaano halafu hatokei! Rejea maandamano ya Arusha na ushuhuda wa Zitto. Mnyika naye hataki vurugu kabisa na CHADEMA wa ndani wanalijua Hilo.
Kwa hiyo hili wahubiri wanalolitenda manaake lazima kuwe na radical change of policy ya chama! Tusubiri, yetu macho!