johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchungaji wa kondoo hukaa mbele......BALI....Mchungaji wa mbuzi hukaa nyuma!Ni wapi umeona kiongozi akiwa mstari wa mbele kwenye mapambano? Nyerere anasifiwa mpaka leo kuwa alimtoa Iddy Amini, alikuwa anakaa mstari wa mbele kwenye vita? Kocha ndio huwa anafundisha timu icheze vipi, na hata ikifungwa yeye ndio Mbeba lawama namba moja, je huwa anaingia uwanjani kucheza? Au na yeye anawasukumizia wachezaji? Hao viongozi wanaoagiza polisi wanapige waandamanaji, mbona wao hawakai mbele kupambana na hao waandamanaji ili waipate fresh? Pumbavu kabisa.