Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

Hongera kwa upuuzi uliotukuka. Ule mpango wa kuwaunga viongozi na Wabunge wa CHADEMA mmeuahirisha? Kama bado Ndugu wa nini? Ndufai wako anajitahidi sana kupunguza wabunge wa upinzani. Mimi namtakia heri maana amtegemeae mwana damu hadumu. UPO WASALIMIE MAGU NA ******
Msinililie mimi by Mbowe!
 
Mkuu hilo la kuuwa watu ni circumstantial halina ushahidi wa asilimia mia lipo katika hisia zaidi.

Unasimamia miradi na ameweka nidhamu ya viwango vya juu.

Mara nyingi ubaya na uzuri wa kiongozi unapimwa na vionjo vyetu vya hisia, hayupo rais perfect hakuna ukamilifu chini ya jua.
Sawa miradi anasimamia , ni jambo zuri. Lakini anasimamia miradi kwa kuvunja katiba. miradi anatoa mfukoni mwake. nani anaidhinisha pesa? Ni kuvunja katiba. As long as anavunja katika anayoyafanya hayana thamani ! angeliyfanya kwa idhini ya sheria na katiba inavyoagiza, then hapo kweli ni shujaa! Hakuna shujaa wa kuvunja katiba.

Pili kuhusu kmauaji, soma hili kama mfano!

“The inference is irresistible that it is the government that orchestrated the plan to shoot Lisu. The possibility that political or road thugs are involved, is excluded by the reaction the government found itself involved in after the shooting. The subsequent behaviors of the Rais, Speaker, IGP and their subordinates….., all bear testimony that the government is involved in the shooting.” In all these circumstances a reasonable common man is perfectly inclined to come to a conclusion that inculpatory behavior by the government after the shooting are incompatible with the innocence of the government and incapable of explanation upon any other hypothesis than that of the involvement of the government
 
Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Nyokoloooo!!
 
Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.

Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
naafikiana na wewe, comrade.
kwa kweli Mnyika akimwita JPM ni DHAIFU atakuwa hajampa haki yake anayostahili kwani sifa sahihi ya kumpa ni MWOGA kutokana na kuwaogopa kupindukia wale wote wanaompinga au wenye viashiria vya kumpinga,

kuogopa wapinzani siyo UDHAIFU hata kidogo….. bali ni UOGA wa kiwango cha SGR!!
 
Mkuu ukisema anawaogopa naona ni kama unapoteza uhalisia. Hawaogopi wapinzani bali anawachukia hasa cdm, kwa kuwa ana madaraka chuki yake inajidhihirisha wazi kwa matumizi mabaya ya madaraka dhidi yao.
 
Rais Magufuli siyo dhaifu
Sio kweli Magufuli ndiye Raisi dhaifu kuliko maraisi wote waliomtangulia

Udhaifu huambatana na uoga, Raisi Magufuli anaogopa Upinzani kuliko kuliko wenzake waliomtangulia,hadi kawapa Polisi nguvu za kuuwa.

Kuzuia mikutano ya hadhara ni moja ya Udhaifu wa Magufuli

Magufuli anategemea vitisho kwa kuwatisha Watanzania ni mbinu za kiongozi Dhaifu

Udhaifu mwingine aliuonyesha alipokuwa ziarani Mikoa ya Kusini pale Ruangwa Ule moshi ukimfanya Raisi mzima aingiwe na woga kumbukeni Raisi ndiye Amirijeshi wa Majeshu yetu kama anaogopa Moshi na kuanza kuwalaumu Wazee wa Ruangwa ni Udhaifu usiokuwa na kifani

Kumbuka Raisi Kikwete alikutana na kila aina vituko mpaka kuanguka jukwaani lakini udhaifu wake haumfikii huyu Raisi wa madaraja.
 
Mkuu hilo la kuuwa watu ni circumstantial halina ushahidi wa asilimia mia lipo katika hisia zaidi.

Unasimamia miradi na ameweka nidhamu ya viwango vya juu.

Mara nyingi ubaya na uzuri wa kiongozi unapimwa na vionjo vyetu vya hisia, hayupo rais perfect hakuna ukamilifu chini ya jua.

Ni kweli hakuna ushahidi wa mauaji, ajabu ni pale anapokuwa kikwazo cha ushahidi wa hayo mauaji kufahamika. Katika mazingira hayo unapata 2+2 unapata jibu bila chenga.
 
Sawa miradi anasimamia , ni jambo zuri. Lakini anasimamia miradi kwa kuvunja katiba. miradi anatoa mfukoni mwake. nani anaidhinisha pesa? Ni kuvunja katiba. As long as anavunja katika anayoyafanya hayana thamani ! angeliyfanya kwa idhini ya sheria na katiba inavyoagiza, then hapo kweli ni shujaa! Hakuna shujaa wa kuvunja katiba.

Pili kuhusu kmauaji, soma hili kama mfano!

“The inference is irresistible that it is the government that orchestrated the plan to shoot Lisu. The possibility that political or road thugs are involved, is excluded by the reaction the government found itself involved in after the shooting. The subsequent behaviors of the Rais, Speaker, IGP and their subordinates….., all bear testimony that the government is involved in the shooting.” In all these circumstances a reasonable common man is perfectly inclined to come to a conclusion that inculpatory behavior by the government after the shooting are incompatible with the innocence of the government and incapable of explanation upon any other hypothesis than that of the involvement of the government
Hakuna katiba inayovunjwa, ndege zinanuliliwa kwa ridhaa ya bunge reli inajengwa kwa ridhaa ya bunge.

Treni ya Moshi imefufuliwa baada ya miaka 25 kwa pesa iliyoidhinishwa na bunge.

Tulizoea maisha fulani ya kisanii ambayo ni artificial lakini awamu hii tumerudi kwa mstari ulionyooka.

Hizo tuhuma bado hazina ushahidi halisi zaidi ya ule wa kimazingira.
 
..Jpm ni dhaifu.

..anategemea vyombo vya dola kushindana na cdm.
 
Ni kweli hakuna ushahidi wa mauaji, ajabu ni pale anapokuwa kikwazo cha ushahidi wa hayo mauaji kufahamika. Katika mazingira hayo unapata 2+2 unapata jibu bila chenga.
Mambo ni mengi muda ni mchache. Ukiwekeza akili katika kutekeleza ilani huwezi kupata muda wa malumbano ya kisiasa.
 
Mkuu ukisema anawaogopa naona ni kama unapoteza uhalisia. Hawaogopi wapinzani bali anawachukia hasa cdm, kwa kuwa ana madaraka chuki yake inajidhihirisha wazi kwa matumizi mabaya ya madaraka dhidi yao.
vyote viwili lakini uoga ni zaidi!
 
naafikiana na wewe, comrade.
kwa kweli Mnyika akimwita JPM ni DHAIFU atakuwa hajampa haki yake anayostahili kwani sifa sahihi ya kumpa ni MWOGA kutokana na kuwaogopa kupindukia wale wote wanaompinga au wenye viashiria vya kumpinga,

kuogopa wapinzani siyo UDHAIFU hata kidogo….. bali ni UOGA wa kiwango cha SGR!!
Wewe usingekuwa MWOGA ungekuja Jf na jina halisi.

Mwili wa binadamu umeumbwa na uoga.

Yesu alisema...........Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu!

Na Msemakweli ni mpenzi wa Mungu hawezi kuwa dhaifu!
 
naafikiana na wewe, comrade.
kwa kweli Mnyika akimwita JPM ni DHAIFU atakuwa hajampa haki yake anayostahili kwani sifa sahihi ya kumpa ni MWOGA kutokana na kuwaogopa kupindukia wale wote wanaompinga au wenye viashiria vya kumpinga,

kuogopa wapinzani siyo UDHAIFU hata kidogo….. bali ni UOGA wa kiwango cha SGR!!
Hawezi kuweka akili zake katika kutekeleza ilani halafu wakati huo huo ashughulike na wapinzani.

Ananunua ndege ambazo abiria wake ni hao wapinzani.

Anajenga reli zinazowapeleka wapinzani kula kisusio nyumbani.

Hana muda wa kuogopa mtu anao wa kuitoa Tanzania hapa ilipo na kuisogeza mbele.
 
Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.

Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa taifa la wajinga kama hilo lolote linawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom