Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

Chadema ndio chama pekee chenye ngugu ya ushawishi Tanzania
FB_IMG_1576589318943.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.

Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Yametimia mkuu. Chama kimerudi nyumbani Moshi. Katibu mkuu anatoka maeneo ya mlima mrefu kupita yote nae mwenyekiti toka huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.

Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Ni dhaifu sana, mtu anyetumia kuteka, kuua, kufunga gerezani, kupoteza huyo ni dhaifu. madikiteita wote huwa ni dhaifu wa hoja , ila makatili! Nyerere hakuwa dhaifu maana alikuwa anajenga hoja nakumaliza kwa hoja. Mkapa alikuwa somehow dhaifu... kidogo. Kiwete alikuwa dhaifu, hakuweza kumkemea mtu kwa hoja ( si kwa rsiasi)
 
Ni malaika tu mwenye uwezo wa vigezo vya kuwa imara kwa mujibu wa Retired.
 
Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.

Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Bunduki na washawasha vinawapa kiburi sana, siasa ni inguvu ya hoja mkuu
 
sijakuelewa please dadavua
Kwako kila rais ni dhaifu nadhani malaika pekee ndio wanafaa kuwa marais.

Magufuli sio dhaifu hata kidogo anapoamua kufanya jambo hayumbishwi kwa kusikiliza maoni ya wasomi na wakosoaji.

Nchi za kiafrika ni dunia ya kambale kila mmoja ana ndevu kila mmoja anajiona ana haki ya kuongea na kusikilizwa.
 
Si kweli angelikuwa hapotezi watu, haui watu, hafungi watu akawa anafanya anayotakata bila kuua wengine, kuwafunga, kuwatesa, kuwapoteza, hapo ningelisema siyo dhaifu. Aghain kama siyo dhaifu Anaogopa nini kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa? huyo ni dhaifu, ingia ushindane ushinde/ushindwe. kwa vile ni dhaifu ndiyo anafanya madudu yote hayo
 
Hapa ndipo wapinzani wanapokosea. Sasa hapa mtatutoa CCM madarakani lini kwa mbinu zenu hizi chovu
Pamoja na mbinu hizo mbovu kama unavyoziita wewe bado Chadema ni mwiba kwa ccm kama huelewi mwambie kinachomwogofya mwenyekiti wako hadi kufanya akataze mikutano halali ya vyama vya siasa,awaita hata watendaji kata ikulu uliiona wapi hiyo??halafu inafanyika ghiliba eti wagombea wa vyama pinzani hawakujaza form vizuri hivyo kukatwa kama sio uoga ni nini?wekeni tume huru muone itakuwaje wezi wa kura nyie.
 
Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.

Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Hongera kwa upuuzi uliotukuka. Ule mpango wa kuwafunga viongozi na Wabunge wa CHADEMA mmeuahirisha? Kama bado ****** wa nini? ****** wako anajitahidi sana kupunguza wabunge wa upinzani. Mimi namtakia heri maana amtegemeae mwanadamu hadumu.
UPO? WASALIMIE MAGU NA ******
 
Tumia ulimi wako vizuri. Unapomuombea Dua mbaya binadam mwenzio, kama si sitahiki kwake basi ujue Muumba wetu anaigeuza inakuja kwako mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja
P
 
Si kweli angelikuwa hapotezi watu, haui watu, hafungi watu akawa anafanya anayotakata bila kuua wengine, kuwafunga, kuwatesa, kuwapoteza, hapo ningelisema siyo dhaifu. Aghain kama siyo dhaifu Anaogopa nini kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa? huyo ni dhaifu, ingia ushindane ushinde/ushindwe. kwa vile ni dhaifu ndiyo anafanya madudu yote hayo
Mkuu hilo la kuuwa watu ni circumstantial halina ushahidi wa asilimia mia lipo katika hisia zaidi.

Unasimamia miradi na ameweka nidhamu ya viwango vya juu.

Mara nyingi ubaya na uzuri wa kiongozi unapimwa na vionjo vyetu vya hisia, hayupo rais perfect hakuna ukamilifu chini ya jua.
 
Back
Top Bottom