Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yametimia mkuu. Chama kimerudi nyumbani Moshi. Katibu mkuu anatoka maeneo ya mlima mrefu kupita yote nae mwenyekiti toka huko hukoKwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Tumia ulimi wako vizuri. Unapomuombea Dua mbaya binadam mwenzio, kama si sitahiki kwake basi ujue Muumba wetu anaigeuza inakuja kwako mwenyewe.Kweli kabisa Mkuu.
Ni KICHAA alitakiwa awe wodini muda huu.
Ni dhaifu sana, mtu anyetumia kuteka, kuua, kufunga gerezani, kupoteza huyo ni dhaifu. madikiteita wote huwa ni dhaifu wa hoja , ila makatili! Nyerere hakuwa dhaifu maana alikuwa anajenga hoja nakumaliza kwa hoja. Mkapa alikuwa somehow dhaifu... kidogo. Kiwete alikuwa dhaifu, hakuweza kumkemea mtu kwa hoja ( si kwa rsiasi)Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Naam dua ikiombwa huwa haibaki hewani.Tumia ulimi wako vizuri. Unapomuombea Dua mbaya binadam mwenzio, kama si sitahiki kwake basi ujue Muumba wetu anaigeuza inakuja kwako mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni malaika tu mwenye uwezo wa vigezo vya kuwa imara kwa mujibu wa Retired.Ni dhaifu sana, mtu anyetumia kuteka, kuua, kufunga gerezani, kupoteza huyo ni dhaifu. madikiteita wote huwa ni dhaifu wa hoja , ila makatili! Nyerere hakuwa dhaifu maana alikuwa anajenga hoja nakumaliza kwa hoja. Mkapa alikuwa somehow dhaifu... kidogo. Kiwete alikuwa dhaifu, hakuweza kumkemea mtu kwa hoja ( si kwa rsiasi)
Bunduki na washawasha vinawapa kiburi sana, siasa ni inguvu ya hoja mkuuKwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
sijakuelewa please dadavuaNi malaika tu mwenye uwezo wa vigezo vya kuwa imara kwa mujibu wa Retired.
Msinililie mimi by Mbowe!Chadema ndio chama pekee chenye ngugu ya ushawishi TanzaniaView attachment 1298351
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia ushawishi kwa watu wenye akiliChadema ndio chama pekee chenye ngugu ya ushawishi TanzaniaView attachment 1298351
Sent using Jamii Forums mobile app
cc: Wakudadavuwasijakuelewa please dadavua
Kwako kila rais ni dhaifu nadhani malaika pekee ndio wanafaa kuwa marais.sijakuelewa please dadavua
Ni katili pia.
Si kweli angelikuwa hapotezi watu, haui watu, hafungi watu akawa anafanya anayotakata bila kuua wengine, kuwafunga, kuwatesa, kuwapoteza, hapo ningelisema siyo dhaifu. Aghain kama siyo dhaifu Anaogopa nini kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa? huyo ni dhaifu, ingia ushindane ushinde/ushindwe. kwa vile ni dhaifu ndiyo anafanya madudu yote hayoKwako kila rais ni dhaifu nadhani malaika pekee ndio wanafaa kuwa marais.
Magufuli sio dhaifu hata kidogo anapoamua kufanya jambo hayumbishwi kwa kusikiliza maoni ya wasomi na wakosoaji.
Nchi za kiafrika ni dunia ya kambale kila mmoja ana ndevu kila mmoja anajiona ana haki ya kuongea na kusikilizwa.
Pamoja na mbinu hizo mbovu kama unavyoziita wewe bado Chadema ni mwiba kwa ccm kama huelewi mwambie kinachomwogofya mwenyekiti wako hadi kufanya akataze mikutano halali ya vyama vya siasa,awaita hata watendaji kata ikulu uliiona wapi hiyo??halafu inafanyika ghiliba eti wagombea wa vyama pinzani hawakujaza form vizuri hivyo kukatwa kama sio uoga ni nini?wekeni tume huru muone itakuwaje wezi wa kura nyie.Hapa ndipo wapinzani wanapokosea. Sasa hapa mtatutoa CCM madarakani lini kwa mbinu zenu hizi chovu
Hongera kwa upuuzi uliotukuka. Ule mpango wa kuwafunga viongozi na Wabunge wa CHADEMA mmeuahirisha? Kama bado ****** wa nini? ****** wako anajitahidi sana kupunguza wabunge wa upinzani. Mimi namtakia heri maana amtegemeae mwanadamu hadumu.Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hojaTumia ulimi wako vizuri. Unapomuombea Dua mbaya binadam mwenzio, kama si sitahiki kwake basi ujue Muumba wetu anaigeuza inakuja kwako mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo la kuuwa watu ni circumstantial halina ushahidi wa asilimia mia lipo katika hisia zaidi.Si kweli angelikuwa hapotezi watu, haui watu, hafungi watu akawa anafanya anayotakata bila kuua wengine, kuwafunga, kuwatesa, kuwapoteza, hapo ningelisema siyo dhaifu. Aghain kama siyo dhaifu Anaogopa nini kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa? huyo ni dhaifu, ingia ushindane ushinde/ushindwe. kwa vile ni dhaifu ndiyo anafanya madudu yote hayo