Heshima kitu cha bure. Ukijifanya chizi watu watushughulika na wewe kama ni mtu mwenye kujielewa. Akili zitakaa sawa tu.
Limejiaibisha sana! Halafu.ulikute liko mbele ya madhabahu sasa, utafikri Malaika kumbe shetani!Ni katili pia.
Lakini mkuu, utafiti mzuri si ni ule wa experiment?Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Mwambie wife anihesabie kwenye msosi basi niwe mwanafamilia.Si ni Bora hao kuliko wewe tambara la deki la jiwe na bashite! Hivi kwa akili zako timamu unatumikia na kumsifu musiba, polepole, jiwe na bashiru? Njaa itakutoa roho!
Nimemzaa mpare ila siwachukii wasukuma...Tusiende huko hiyo direction ni sawa na kuwasha cheche kwenye mitambo ya gesi. Mi siyapendi macdm lakini hiyo direction mwanzisha thread big no.
Kila RAIA wa nchi hii ana haki sawa na mwingine. Kuanza kutambuana kwa makabila hiyo hapana kwa kweli.
siyo dhaifu ndiyo ila ni kichaa kama vichaa wengine tu!Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.
Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
...and its not unconstitutional, is it?Yametimia mkuu. Chama kimerudi nyumbani Moshi. Katibu mkuu anatoka maeneo ya mlima mrefu kupita yote nae mwenyekiti toka huko huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayeupinga ukweli japo cha muhimu ni uwasilishaji wako.Jitahidi kutofautisha kuvumilia ukweli na kutoheshimiwa. Mara nyingi watu wasiomudu kusikia ukweli, hutumia kichaka cha kuvunjiwa heshima ili kuficha ukweli. Kwakuwa una madaraka unaweza kuyatumia vibaya kwa tafsiri yako kuwa umevunjiwa heshima, lakini ukweli hubakia kuwa ukweli. Na tuna uwezo wa kupima ipi ni kuvunjiwa heshima, na upi ni ukweli lakini unapindishwa ili kuleta maana tofauti.
Mbwiga.
Wapi nimetumia ulimi hapo..??Tumia ulimi wako vizuri. Unapomuombea Dua mbaya binadam mwenzio, kama si sitahiki kwake basi ujue Muumba wetu anaigeuza inakuja kwako mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika tu kufurahisha anayekulipa
Ina maana kada zingine hawana sifa za kuongoza chama?Mwenyekiti, Katibu mkuu, Naibukatibu mkuu bara wanatokea Kilimanjaro