Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
Kaka usifikiri kuwa niwajinga hapana! Wamesoma alama za wakari ujao,
Wanajua kabisa hawatapata ubunge ktk uchaguzi ujao, mfano myika kupewa ukatibu mkuu tena! Wakati ni mbinge hii nikujitengenezea ulaji ikitomea akakoswa ubunge, naukiona hivyo ujue hatagombea ubunge wakibamba kishaogopa.
Tutegemee Chadema chini ya Mbowe kujitoa uchaguzi 2020
Sent using Jamii Forums mobile app