Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Mwenyekiti, Katibu mkuu, Naibukatibu mkuu bara wanatokea Kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge kwa wakati upi?Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Unakadi wewe au unaonge ongea tuHapa ndipo wapinzani wanapokosea. Sasa hapa mtatutoa CCM madarakani lini kwa mbinu zenu hizi chovu
Namba 38
Umeandika tu kufurahisha anayekulipaHapa ndipo wapinzani wanapokosea. Sasa hapa mtatutoa CCM madarakani lini kwa mbinu zenu hizi chovu
Kwani katiba inamkataza mbunge kuwa kamati kuu au unatoa maoni yako kwamba walitakiwa watu wengine sio wabunge?Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Sasa Mwanaccm si ufurahie Mbowe kushindwa kazi !Mbowe akili ilishagota hana jipya wala mbinu mpya ya kukiongoza chama
Halaf wanamuimbia pambio eti la mwamba tuvushe, dah maajabu sana mtu aliyeshindwa kuwavusha uchaguzi 2015 akaita mafisadi yaje yagombee urais then juzi uchaguzi serikali za mitaa kashindwa tena kuwavusha
ataweza kuwavusha 2020 kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hivyo kamandaUmeandika tu kufurahisha anayekulipa
Mwenyekiti, Katibu mkuu, Naibukatibu mkuu bara wanatokea Kilimanjaro
[/QUOTE
Waenda Motoni katika ubora wenu. Unasema uongo mchana kweupe. Hivi unamjua Benson kigaila au unahisi tu. Kwahiyo nae ni wakilimanjaro? Hopeless.
Naona imekuumiza, ivumilie tu! Ccm mnaingiliaje upangaji wa safu ya uongozi wa cdm as if ninyi ndio wamiliki wa wananchi? Mna maana wananchi hawawezi kutenda Jambo la kikatiba bila ccm kutoa mkono na mdomo? Hebu iacheni cdm ijipange kwa Raha zao na hakika Safari hii ccm mtalia Sana! Kamati kuu ndani na nje ya bunge na muda wowote wanaitana na kuelekezana! Imekaaje hii ndugu mlalamikaji Yehodaya?Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?