Naomba muwe serious kidogo ndugu zetu Wapinzani.
Kwa mfano CHADEMA:
Mnatuwekea Mwenyekiti Mbowe
Katibu Mnatuwekea Mnyika
Wale wale wa miaka 20 iliyopita, sasa hv wana kipya kipi? Kipi??? Chadema digital kwa ajili ya kuchangishana?
Hahahahaha amazing! Watu wanawaza huduma za kijamii we unakuja na mbinu ya kuwachangisha, dah!
Dah.....
Jamani mpo serious kweli?
Tuseme nyie ndo mngekuwa CCM, mngeshawishika kweli na safu hio?
Twende ACT Wazalendo:
Kuna Ayatollah Zitto Kabwe, kuna nani zaidi? Na mwenyewe hata haaminiki na Wapinzani wenzake.
Twende CUF. Sasa hapa kuna chama cha kupewa dola? Hakuna.
NCCR Mageuzi. Hapa km CUF tu.
Wapinzani, are you serious kweli?
Njooni mniumbue hapa jukwaani, msipanic wala msitukane. Just prove me wrong comrades!
CCM Music