Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Miafrika bwana,Kipindi Cha kwAnza goli litaungwa na mzize na kukataliwa,baadaye nimeona yanga akitawala mpira na kushambulia na kutawala mpira Kwa Kasi kubwa ,Kwa hiyo kipindi Cha kwAnza kitaisha 1-1,yanga atasawazazisha Kwa mpira wa kutengwa kutokea upande wa Julia,kwa upande wa Simba nimekutana na mashabaki wake wakiwa wapole mno kipindi Cha kwAnza,wakianza kuondoka kwenye mabanda ya kuangalia mpira.ila sijui Kwa upande wa yanga itaisha vipi.watu wa Simba mjipange kisaikolojia.mvua itanyesha kiasi lakini Hali itakaa sawa
Ki ujumla Kuna mtu atafungwa mbili moja hata kama goli litakataliwa.Kipindi Cha kwAnza goli litaungwa na mzize na kukataliwa,baadaye nimeona yanga akitawala mpira na kushambulia na kutawala mpira Kwa Kasi kubwa ,Kwa hiyo kipindi Cha kwAnza kitaisha 1-1,yanga atasawazazisha Kwa mpira wa kutengwa kutokea upande wa Julia,kwa upande wa Simba nimekutana na mashabaki wake wakiwa wapole mno kipindi Cha kwAnza,wakianza kuondoka kwenye mabanda ya kuangalia mpira.ila sijui Kwa upande wa yanga itaisha vipi.watu wa Simba mjipange kisaikolojia.mvua itanyesha kiasi lakini Hali itakaa sawa
Wewe nawe na LIKUD mnafanana, Sasa una uhakika gani Mzzize ataanza kipindi cha kwanza, wakati mara zote anaingia subKipindi Cha kwAnza goli litaungwa na mzize na kukataliwa,baadaye nimeona yanga akitawala mpira na kushambulia na kutawala mpira Kwa Kasi kubwa ,Kwa hiyo kipindi Cha kwAnza kitaisha 1-1,yanga atasawazazisha Kwa mpira wa kutengwa kutokea upande wa Julia,kwa upande wa Simba nimekutana na mashabaki wake wakiwa wapole mno kipindi Cha kwAnza,wakianza kuondoka kwenye mabanda ya kuangalia mpira.ila sijui Kwa upande wa yanga itaisha vipi.watu wa Simba mjipange kisaikolojia.mvua itanyesha kiasi lakini Hali itakaa sawa
Mech ya al ahly na medeama al ahly wakiwa nyumbani, medeama kpnd cha kwanza walikomaa wakamaliza 0:0, kipindi cha pili medeama wakapigwa 3:0, yanga tuna cha kujifunza kwenye ile mech, al ahly wana mbinu sana, ila yanga ikijipanga vzur na kutokufanya makosa madogomadogo kama waliyofanya kwenye mech na CR, kuna uwezekano wa 60% yanga kushinda mech yake dhidi ya al ahly.Jamani wanaichiiii jmos hamuwezi kushindwa kwa mkapa...
Ndio maana serikali inakataza ramli chonganishiKipindi Cha kwAnza goli litaungwa na mzize na kukataliwa,baadaye nimeona yanga akitawala mpira na kushambulia na kutawala mpira Kwa Kasi kubwa ,Kwa hiyo kipindi Cha kwAnza kitaisha 1-1,yanga atasawazazisha Kwa mpira wa kutengwa kutokea upande wa Julia,kwa upande wa Simba nimekutana na mashabaki wake wakiwa wapole mno kipindi Cha kwAnza,wakianza kuondoka kwenye mabanda ya kuangalia mpira.ila sijui Kwa upande wa yanga itaisha vipi.watu wa Simba mjipange kisaikolojia.mvua itanyesha kiasi lakini Hali itakaa sawa
Naunga mkono hoja,hivi vilabu vimepatwa kweli kweli na washabiki washamba na viongozi wenye utoto mwingi.Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii.
Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii muhimu.
Utoto wa kina Ally Kamwe na misuli yao ni upuuzi mtupu, uwanja wa michezo siyo sehemu ya kuvaa misuli kuna sports kit.
Simba na Yanga ni muda wa kuachana na hawa washamba wote.
Mbona mpk sasa kwa umbumbuDogo naye utafikiri yupo kwenye foolish age!!
Wote mtakaovaa misuli siku hiyo mtakuwa hamna tofauti na wale mashabiki wa simba walioitwa mbumbumbu na Rage
Misuli bila kuvaa chupi huu ni upuuzi sanaTabulele laaaaa.....
Ni mwendo wa kupumua tuu na misuli j'mos
Ally Kamwe ni mpuuzi....
Ndo maana nasema kwa presha ya huo mpira...watu watakua wanapumua hovyo hakuna kizuizi...Misuli bila kuvaa chupi huu ni upuuzi sana
Kwani mkuu wameambiwa wasivae kufuli?Misuli bila kuvaa chupi huu ni upuuzi sana
Ha ha ha ha ha ha umenifanya nichekeNdo maana nasema kwa presha ya huo mpira...watu watakua wanapumua hovyo hakuna kizuizi...
Ndiyo, tena yule msukule alikuwa anasema unaonyesha ticket huku umekudua msuli ili waone utupu wako,this is madness!!Kwani mkuu wameambiwa wasivae kufuli?