Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Mkuu sio kwa Ubaya, lakini....Ila Majukumu ya Afisa habari ni kuleta hamasa.... Ugumu wa match anatakiwa aujue kocha na wachezaji wake... Yani leo stress za ugumu wa match apewe shabiki?? Ndio maana nismbie wewe umemuona mchezaji gani kwemye mapokezi wote wapo kambini wanajiandaa, So acha kupayuka....Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii.
Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii muhimu.
Utoto wa kina Ally Kamwe na misuli yao ni upuuzi mtupu, uwanja wa michezo siyo sehemu ya kuvaa misuli kuna sports kit.
Simba na Yanga ni muda wa kuachana na hawa washamba wote.