Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mambo yanayohusu Yanga yote ni ujinga sasa ina maana utaacha kuchangia mada za Yanga?Usiwe una niita kwenye mambo ya kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yanayohusu Yanga yote ni ujinga sasa ina maana utaacha kuchangia mada za Yanga?Usiwe una niita kwenye mambo ya kijinga
Ahmed Ally anazunguka na wachezaji kuzungumzia mambo ya soka. Wa kwenu anazurura anawashawishi Wana Yanga kwenda kumpokea msanii. Huoni tofauti hapo?Sasa hapo ni nini mkuu kilichokufanya utoke povu hivyo? Sasa wakifanya hivyo wewe kinakuuma nini? Mbona Hemedy Ally anazunguka mitaani na wachezaji wa 5imba kila siku wanaomba mashabiki wasiwasuse na waje uwanjani? Ni kweli 5 ndio tatizo.
Kila kitu wanacho fanya Yanga wanakosea ndio unataka kusikia hivyo, kaa upande huo huoSawa mzee wa maono
Ndio nakwambia mambo yako ya kijinga usinishirikishe unanishisha IQ yanguMambo yanayohusu Yanga yote ni ujinga sasa ina maana utaacha kuchangia mada za Yanga?
mzee watakaocheza ni akina max ambao hata hatujui walipo...kwani ali kamwe anacheza namba ngapi!!Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii.
Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii muhimu.
Utoto wa kina Ally Kamwe na misuli yao ni upuuzi mtupu, uwanja wa michezo siyo sehemu ya kuvaa misuli kuna sports kit.
Simba na Yanga ni muda wa kuachana na hawa washamba wote.
Kwamba una amini kila kitu wanachofanya Yanga wanapatia?Kila kitu wanacho fanya Yanga wanakosea ndio unataka kusikia hivyo, kaa upande huo huo
Samahani sikujua kama nawe unakuwaga na IQNdio nakwambia mambo yako ya kijinga usinishirikishe unanishisha IQ yangu
Peleka CV yako ukaombe hio nafasi tutolee kelele hapaKwamba una amini kila kitu wanachofanya Yanga wanapatia?
Hujaona pointi yeyote ya kuzingatia kwenye hii mada?
Wewe pimbi zile events za beach soccer alizo kua anafanya Ahmed Ali kipindi mnaenda kucheza AFL uli criticize nini? once mbumbumbu always mbumbumbuKwamba una amini kila kitu wanachofanya Yanga wanapatia?
Hujaona pointi yeyote ya kuzingatia kwenye hii mada?
Wewe pimbi zile events za beach soccer alizo kua anafanya Ahmed Ali kipindi mnaenda kucheza AFL uli criticize nini? once mbumbumbu always mbumbumbu
Hakuna kitu rahisi kama kukosoa unaweza kuifanya hata umelalaSasa beach soccer huoni inaenda sawa na mfumo rasmi wa sport?
Je hiyo unataka kuiweka sawa na kampeni yenu ya kuvaa mataulo, kuweka mabango?
Na kuna ile event nyingine baada ya Simba kutolewa na Wydad kwa penalti ambayo Ally Kamwe alitangaza siku maalumu ya kumcheka mnyama
Hivyo vyote kwako unaona ni fresh tu kwasababu kwako unaviona kama hamasa kuwaita mashabiki.
Lakini usichokijua na ambacho mimi nimekiona ni kuwa wasemaji wana nafasi ndogo sana ya kutumia taaluma zao au ubunifu wao kuwafanya mashabiki waje kwa wingi uwanjani.
Performance ya timu na matokeo mazuri ndio kitu kikubwa ambacho kina encourage mashabiki waweze kuja kwa wingi uwanjani.
Beyond hapo hata ufanye hamasa ya kuwavalisha vijora na kiingilio kiwe bure bado kutakuwa na mwitikio mdogo wa mashabiki kujaa uwanjani.
Ally Kamwe mwenyewe ana sura ya kidemuSasa beach soccer huoni inaenda sawa na mfumo rasmi wa sport?
Je hiyo unataka kuiweka sawa na kampeni yenu ya kuvaa mataulo, kuweka mabango?
Na kuna ile event nyingine baada ya Simba kutolewa na Wydad kwa penalti ambayo Ally Kamwe alitangaza siku maalumu ya kumcheka mnyama
Hivyo vyote kwako unaona ni fresh tu kwasababu kwako unaviona kama hamasa kuwaita mashabiki.
Lakini usichokijua na ambacho mimi nimekiona ni kuwa wasemaji wana nafasi ndogo sana ya kutumia taaluma zao au ubunifu wao kuwafanya mashabiki waje kwa wingi uwanjani.
Performance ya timu na matokeo mazuri ndio kitu kikubwa ambacho kina encourage mashabiki waweze kuja kwa wingi uwanjani.
Beyond hapo hata ufanye hamasa ya kuwavalisha vijora na kiingilio kiwe bure bado kutakuwa na mwitikio mdogo wa mashabiki kujaa uwanjani.
Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii.
Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii muhimu.
Utoto wa kina Ally Kamwe na misuli yao ni upuuzi mtupu, uwanja wa michezo siyo sehemu ya kuvaa misuli kuna sports kit.
Simba na Yanga ni muda wa kuachana na hawa washamba wote.
Utaambiwa wewe ni Simba sasa hivi, subiri mitutusa ya JF iyone comment yako.Halafu naona uhamasishaji wa kununua tiketi uko chini! Mpaka sasa hakuna tiketi zilizokuwa sold out!
Sielewi kabisa!