Viongozi washamba Yanga hawahitajiki. Tujikite kwenye mechi na Al Ahly

Sasa hapo ni nini mkuu kilichokufanya utoke povu hivyo? Sasa wakifanya hivyo wewe kinakuuma nini? Mbona Hemedy Ally anazunguka mitaani na wachezaji wa 5imba kila siku wanaomba mashabiki wasiwasuse na waje uwanjani? Ni kweli 5 ndio tatizo.
Ahmed Ally anazunguka na wachezaji kuzungumzia mambo ya soka. Wa kwenu anazurura anawashawishi Wana Yanga kwenda kumpokea msanii. Huoni tofauti hapo?
 
mzee watakaocheza ni akina max ambao hata hatujui walipo...kwani ali kamwe anacheza namba ngapi!!
 
Sifa zimewalevya washaanza kupotea njia
 
Wewe pimbi zile events za beach soccer alizo kua anafanya Ahmed Ali kipindi mnaenda kucheza AFL uli criticize nini? once mbumbumbu always mbumbumbu

Sasa beach soccer huoni inaenda sawa na mfumo rasmi wa sport?

Je hiyo unataka kuiweka sawa na kampeni yenu ya kuvaa mataulo, kuweka mabango?

Na kuna ile event nyingine baada ya Simba kutolewa na Wydad kwa penalti ambayo Ally Kamwe alitangaza siku maalumu ya kumcheka mnyama

Hivyo vyote kwako unaona ni fresh tu kwasababu kwako unaviona kama hamasa kuwaita mashabiki.

Lakini usichokijua na ambacho mimi nimekiona ni kuwa wasemaji wana nafasi ndogo sana ya kutumia taaluma zao au ubunifu wao kuwafanya mashabiki waje kwa wingi uwanjani.

Performance ya timu na matokeo mazuri ndio kitu kikubwa ambacho kina encourage mashabiki waweze kuja kwa wingi uwanjani.

Beyond hapo hata ufanye hamasa ya kuwavalisha vijora na kiingilio kiwe bure bado kutakuwa na mwitikio mdogo wa mashabiki kujaa uwanjani.
 
Hakuna kitu rahisi kama kukosoa unaweza kuifanya hata umelala
 
Ally Kamwe mwenyewe ana sura ya kidemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa Simba imeingiaje hapo mkuu? [emoji3][emoji3]
 
Halafu naona uhamasishaji wa kununua tiketi uko chini! Mpaka sasa hakuna tiketi zilizokuwa sold out!

Sielewi kabisa!
 
Ila utopolo wana akili za ajabu sana mjue
,any ways yanga 1-ahly 1
 
Halafu naona uhamasishaji wa kununua tiketi uko chini! Mpaka sasa hakuna tiketi zilizokuwa sold out!

Sielewi kabisa!
Utaambiwa wewe ni Simba sasa hivi, subiri mitutusa ya JF iyone comment yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…